Ta Muganyizi
R I P
- Oct 19, 2010
- 5,355
- 2,739
Paulina Gekul (dada yangu) anasisitiza kuwa ni sahihi kushinikiza waziri mkuu kujiuzulu, kwa maana ya kuiwajibisha serikali
Kikwete hana habari.
Huwezi amini kama alikuwa waziri wa sayansi na technolojia.......mpoleeeeeee
Mwana dada huyu nimesoma naye UDSM tulikuwa tunakutana sana kwenye lecture za Political Science. Alikuwa very ambitious for change good work to her
Heading yako ina mislead, unaweza kufikiri labda ndani kuna tamko la serikali kumbe unauliza!!!
Paulina Gekul (dada yangu) anasisitiza kuwa ni sahihi kushinikiza waziri mkuu kujiuzulu, kwa maana ya kuiwajibisha serikali
Ta Muganyizi;Sikiliza mwenyewe hapa TuneIn Web Tuner
Mbona najaribu hiyo link sipati mafanikio?
Sikiliza mwenyewe hapa TuneIn Web Tuner
Anaongea profesa Maghembe anazungumzia umuhimu wa kilimo na kauli mbiu mbali mbali kama:- Kilimo ni uhai,kilimo cha kufa na kupona na sasa kilimo kwanza. Ila kinakua kwa 4.2% tu.
Ahsante mdau maana nilikuwa live na clouds wakatoweka ghaflaSikiliza mwenyewe hapa TuneIn Web Tuner