yani lubuva anachezeshwa makirikiri na watu wa lumumba hahahahahah maji huwa yanafata njia yake hata mjenge magorofa ya zege kuyazuia bt cku mafuriko yakitokea yatapita pale pale lubuva mzee wangu unajua wanyama serengeti wanajiona wapo huru kumbe tunawafuga na kutengeneza mkwanja kupitia wao kama cku wakijua wanaweza na wenyewe kudai maji ya bomba,nyumba za kuishi.medical care na mbunge wao bungen bt mpaka dunia inakwisha siri hii hawato ijua sasa kumbuka sisi c wanyama ni binadamu 2naona NEC ,POLICE jinsi mnavyopokea maelekezo kutoka lumumba sasa kumbukeni mahakama ya kimataifa aijafungwa ila alieondoka ni ocampo tu