Ni kitu gani au ni kikao kipi kilichoamua kubadili Ilani ya CCM 2010-15? CCM wamenadi Ilani yao kuwa watajenga mitambo Mtwara, sasa kwanini wabadilishe? Hii issue inaweza kuleta balaa kwa CCM 2015!
Chama cha Mapinduzi katika Ilani yake ya uchaguzi ya mwaka 2010 inatamka wazi katika Ibara ya 63 kifungu cha H na K juu ya gesi ya Mnazibay Mtwara na Songo songo Kilwa, Lindi kuhusu umeme wa (240 MW) Kinyerezi na (300MW) Umeme wa Mnazi bay Mtwara……
-Vifungu hivi vinafafanua:
• Gesi ya Mnazi bay itakuwa kwa ajili ya Mitambo ya kuzalisha umeme ambayo itajengwa Mtwara (300MW)
• Mitambo ya kuchakata gesi kujengwa Mtwara
• Ujenzi wa viwanda Mtwara ili malighafi itokanayo na gesi itumike kutengeneza mbolea, plastic vikiwemo na viwanda vya Cementi
2. Gesi ya Songo songo inafafanua wazi kuwa gesi hiyo itapelekwa Kinyerezi . Dar –es –Salaam kwa madhumuni hayo hayo.
• Kuendeleza viwanda mbali mbali
• Kuzalisha umeme (240 MW)
• Kuchakata gesi kwa kujenga mitambo
Katika ahadi ya Rais wa Jahuri ya Muungano wa Tanzania alizotoa wakati wa Kampeni za uchaguzi katika hotuba yake ya tarehe 29/10/2010 alitamka wazi kuwa Mkoa wa Mtwara uwe tayari kwa maendeleo makubwa ambayo yanakuja kutokana na gesi iliyogunduliwa katika Mkoa wa Mtwara huko Mnazi bay
mkuu unaandiko linaloonyesha kuwa muislam adui yake ni mkristo? kuna meseji nimetumiwa hapa na mkristo mmoja inatia kinyaa kwa kweli. naona na wewe ni walewale. hakuna andiko linalosema kuwa adui wa muislam ni mkiristo. ila adui wa muislam ni yule anayetaka kuuharibu uislam kwa vyovyote vile iwavyo. kwa hiyo kama wakristo mnataka kuuharibu basi mtaingia kwenye kundi hilo. Kwa taarifa yako, uislam unafundisha kuishi na wasio waislam vizuri. mafundisho pia yanatufundisha kuishi na jirani yako vizuri bila ya kujali imani yake. mkuu acha kupotosha na kutengenezea watu chuki zisizo na chembe ya ukweli. Anyway unaweza endelea kama wewe si Mtz kwani kikiwaka hutakuwepo.Muislamu adui yake ni Mkristo,adui wa mkristo ni shetani je muislamu ni nani?Safi sana walokolee nimewakubali mko juu ila sasa naombeni kwenye maandamano muwe mstari wa mbele ili wajue kwamba issue ya gesi ni zaidi ya uhuruu wa nchi
Huoni aibu kuamini hivyo?Uislamu unafundisha amani na kuishi vizuri na jirani?Kwahiiyo waislamu wote ni vilaza kwamba huwa hawaelewi hayo mafundisha mpaka wanachoma makanisa?Emu kamsikilize Shehe muuaji Ilunga ndo utaujua uislamu ni ush..twan..Mwanafunzi mtoro adui yake ni mwalimu Adui wa mwalimu ni Ujinga hivyo mwanafunzi mtoro ni mjinga..Waislamu ni janga la duniamkuu unaandiko linaloonyesha kuwa muislam adui yake ni mkristo? kuna meseji nimetumiwa hapa na mkristo mmoja inatia kinyaa kwa kweli. naona na wewe ni walewale. hakuna andiko linalosema kuwa adui wa muislam ni mkiristo. ila adui wa muislam ni yule anayetaka kuuharibu uislam kwa vyovyote vile iwavyo. kwa hiyo kama wakristo mnataka kuuharibu basi mtaingia kwenye kundi hilo. Kwa taarifa yako, uislam unafundisha kuishi na wasio waislam vizuri. mafundisho pia yanatufundisha kuishi na jirani yako vizuri bila ya kujali imani yake. mkuu acha kupotosha na kutengenezea watu chuki zisizo na chembe ya ukweli. Anyway unaweza endelea kama wewe si Mtz kwani kikiwaka hutakuwepo.
Ilani ya uchaguzi siyo biblical. Kwanza ieleweke kuwa Ilani inatekelezwa tu pale inapowekwa katika mipango ya Serkali inapopitishwa na Bunge au mabaraza husika (madiwani). Bahati mbaya wanasiasa wamekuwa wakiimba Ilani na kuwaaminisha wananchi kuwa ni lazima itekelezwe ilivyoandikwa. Ingekuwa hivyo CCM wasingepata uhalali wa kuanzisha mchakato wa Katiba mpya kwa sababu hauko katika Ilani Yao.
Ukiwauliza Ccm leo watasema ilani yao ya uchaguzi haijasema kama ilivyo andikwa.HAta jamaa ni waongo wa ajabu wameshazowea kudanganya kila kukicha.. Sssa wamrumbuka wakimbie kivuli chao sssa.
Ccm na watu wake wapuuuz wanachanganganya wananchi haya ni mambo ya kipuuz tu si wawasikilize wanamtwara?mmeambiwa barabara miaka 51 ya uhuru hazijakamilika,Jakayla kaahidi mambo lukuki mtwara leo bomba lijengwe Mitzi 18 Hata kichaaa hapa ataandamana kuna nini Ndani yake?kwetu huku tarime mambo ya kisenge hakuna,serikali acheni mambo yenu bwana mtafanya watu wampumbavu mpaka lini bwana?.
Aisee yaani ilani ya ccm wenyewe wanaikana kuwa haijasema kama ilivyoandikwa? Chichiem kiboko, ila kwa chacha watambue hakuna wa kudanganya tena Tanzania. Kweli tu ndio itawaweka huru.
.
Ukweli ni Dawa siku zote.
Unamaanisha ilani ya uchaguzi na ahadi za viongozi wakati wa kampeni ni utapeli? Kwa hiyo kiongozi au chama kinaweza kuahidi chochote na asiwajibike kutekeleza? Basi hatuhitaji chama wala ilani