Tamko la Ikulu juu ya tishio la kuuawa viongozi wa CHADEMA

Ni lini Usalama wa Taifa ulishawahi kufanya kazi kwa maslahi ya wananchi? Nilishasema tena TISS inastahili kufumuliwa siyo kutumia masalia ya TISS kwa manufaa ya watu wachache
 
ivi slaah! lema mnyika! nikama nani katika nchii hiii! mpaka watishiwe kuuwawa? hawa adhari na wanatishia kitu gani nchi hii! mbona ni watoto wadogo sana katika hii nchi! kuna watu wanaoweza kutishia hii nchi na kuna watu ni hatari wakuweza kuadhiri hii nchi! sio hao watoto wadogo! bali wanapoteza muelekeo tu hawa wanasiasa! mtu wa slaa kwenye usalama wa taifa soon atatoka madarakani sasa izi ni njama za kumchafua kaimu kwa kuwa sio mwana siasa mwenzao! waachwe kuawa wakina edward m ambao sasa ni wako BBc ambao walitishia hii nchi itakuwa ha watoto jamani! unafki tu huu! afu ni woga

Pamoja na njaa hizi, zinawafanya watu kama
markj kujidhalilisha mno, kwanza kuandika pumba, kwa mwandiko mchafu kwa kutumia akili zilizonajisika.
 
Last edited by a moderator:
Angalijibu mkuu wa usalama wa taifa ningemwelewa lakini Katibu Mkuu Kiongozi napata shida kuamini kuwa anayajua vema majukumu ya usalama wa taifa na pengine hata mipango yao.
Ukisoma vizuri tamko lake utaona kama vile anakubali kuwaua. Hebu nukuu ' Kwa nini wawaue viongozi wakati sio tishio lolote kwa wananchi? Kwa mantiki ya swali hili, ina maana kama mtu au kiongozi ni tishio kwa wananchi atauwawa. Tazama mfano Dr. Ulimboka kwa macho ya Sefue alionekana tishio kwa Afya za wananchi. Jibu la serikali ni kuuwawa. Nyuma ya mgomo wa madaktari (kama ilivyosemwa bungeni na Mbunge wa CCM Eng Stella Manyanya) kuna viongozi wa CHADEMA. Hivyo viongozi hawa sharti wauwawe. Kwa mujibu wa kauli ya Katibu kiongozi, yeyote anayeonekana kuwa tishio kwa watawala (neno wananchi kwenye nukuu yake hapo juu lisomeke WATAWALA) mshahara wake kifo.
Hebu pia tuiangalie CHADEMA katika medani za kisiasa hapa Tanzania. Katika chaguzi mbalimbali ni tishio kwa chama tawala au la? Katika ushindani wa hoja Bungeni, je; ni tishio au la? Wanaofuatilia mambo ya kisiasa watajibu kwa sauti moja NDIYOOOOOOOOOOOOO? Kwa hitimisho la kanusho la Katibu Kiongozi, wanapaswa kuuwawa tena haraka.
Je watu wanaotishia usalama wa wananchi wanauwawa? Kabla hatujajibu swali hili tuwajue kwanza wale wote wanaotishia usalama wa wananchi. Orodha ni ndefu, lakini hawa hawawezi kukosa.

  • Walioapa kuilinda katiba hawailindi.
  • Wanaotumia nafasi zao za kazi kujinufaisha wao, familia zao na marafiki zao
  • Wanaotumia nafasi zao kujilimbikizia mali
  • Wanaotumia rasilimali za nchi hii kwa ubadhilifu huku wakiacha sekta muhimu Afya, Elimu Maji nk
Hawa hawajapata kuuwawa hata siku moja. Hawa ni tishio la kweli na la wazi kwa wananchi
Katika mambo haya CHADEMA hawana nafasi ya kuyafanya,isipokuwa wanawaanika viongozi waoyafanya haya, hivyo ni tishio kwa viongozi hawa na sio kwa wananchi. Viongozi tishio kwa wananchi wanatumia neno wananchi kama kichaka chao cha kujificha huku wakiendelea kuwaumiza wananchi waliomba kuwatetea.
 
Wengi walisha kufa kisha usalama wa Taifa ukapiga kimya kwa kuwa walihusika wao na kama sivyo tukutane mahakamani kwa mifano ifuatayo; kifo kile cha Kombe Arusha, kolimba, hujuma zilizowapata ulimboka na kubenea, wabunge wa CDM walio umizwa hvi majuzi nk. Haya nayo wanasema nini kwa watanzania? Mna maliza watanzania wenzenu bila huruma na mkielezwa mnajibu kipumbavu! Dr. Slaa huyo mlimwekea visa sauti akavibaini et mkasema mnafanya uchunguzi, Mwakyembe kaeleza ukweli mkamtwanga sumu! Leo hii mtaniambia eti usalama wa Taifa! Je, tukisema ni genge la wahuni linalo kunywa damu za watu nani ata kataa? Labda mnafiki kama wewe. Teheteheee.... Natania tuu mjomba najua imewauma sana hii...
 
ivi slaah! lema mnyika! nikama nani katika nchii hiii! mpaka watishiwe kuuwawa? hawa adhari na wanatishia kitu gani nchi hii! mbona ni watoto wadogo sana katika hii nchi! kuna watu wanaoweza kutishia hii nchi na kuna watu ni hatari wakuweza kuadhiri hii nchi! sio hao watoto wadogo! bali wanapoteza muelekeo tu hawa wanasiasa! mtu wa slaa kwenye usalama wa taifa soon atatoka madarakani sasa izi ni njama za kumchafua kaimu kwa kuwa sio mwana siasa mwenzao! waachwe kuawa wakina edward m ambao sasa ni wako BBc ambao walitishia hii nchi itakuwa ha watoto jamani! unafki tu huu! afu ni woga

Pamoja na njaa hizi, zinawafanya watu kama
markj kujidhalilisha mno, kwanza kuandika pumba, kwa mwandiko mchafu kwa kutumia akili zilizonajisika.
 
Last edited by a moderator:
mh sefuni ombeni tulitegemea uchambuzi yakinifu kutoka hapo badala ya kuhoji vitu ambavyo wananchi nao wanahoji .kwa mfano chadema wao waliweka wazi kila kitu na kueleza matukio ya nyuma yaliyo wagusa na serikali ilipaswa ieleze pia juhudi ilizo chukua badala ya kuhoji tena ,na watanzania nao wanahoji ,sasa nani atamjibu nani .majibu mengine kwa hoja nzito watu wasikurupuke tu na kuhoji badala ya kujibu maswali kwa kina .tunao wasikiliza hatuwaelewi kabsa

well said.
 
"Coming in from the coold"
would you let the system make you kill your brother?

Niwekeeni tafadhali lyrics za wimbo huo wa bob marley tiss na ndugu zao kina zombe waelimishwe.
 
....... haiko kwa ajili ya kuua raia au viongozi bali kulinda maslahi ya taifa sasa kwa nini wawaue wana Nini hasa idara ya usalama wa taifa ifanye hivo, idara hii haifanyi kazi kisiasa inaangalia maslahi ya watz wote.....

Kama kweli Serikali inalinda raia wake ziko wapi ripoti za mauaji ya Watanzania wasiokuwa na hatia waliouawa Arusha, Tarime, Igunga, na kule Mbagala na Gongo la mboto kwa ulipukaji wa mabomu?

Iko wapi ripoti kuhusu vinasa sauti vilivyokutwa chumbani kwa Dr Slaa wakati akihudhuria Bunge kule Dodoma? kama sikosei ni miaka minne sasa tangu sakata lile litokee?

Majina ya waliokwapua $200 millioni na kuwekewa kwenye bank accounts zao kule uswiss mbona hayawekwi hadharani? Kulikoni? TAKUKURU inachunguza nini wakati rekodi yake kwenye ufisadi unaoendelea nchini ni sifuri? Nani aliyewahi kutiwa hatiani nchini na TAKUKURU kwa kuhusika na ufisadi? Nchi imewashinda magamba mnabaki kufanya usanii tu kila kukicha.

watanzania tusifanye kosa tena kuchagua rais ambaye hata elimu yake ya chuo kikuu aliipata kimagumashi, maana hata kuya-attend mafaili mezani kwake ana hisi kama ni UE kwake. Matokeo yake ndo hiyo misele ya nje ya nchi kila uchao!

Kabla 2015 serikali ya JK itaanguka anguko la aibu.
 
nakala kwa;

USALAMA WA TAIFA KIKOSI MAALUMU CHA KUDHIBIT CHADEMA NA WANAHARAKATI ---- Katibu CCM Moshi
 
tamko toka ikulu

katibu mkuu kiongozi balozi ombeni sefue atamka kwamba hakuna mpango wowote unaoratibiwa na idara ya usalama wa taifa kwa ajili ya kuwaua viongozi wa chadema.

Huku akihoji sababu za serikali kutaka kuwaua viongozi wakati si tishio lolote kwa wananchi huku akisema idara ya usalama wa taifa haiko kwa ajili ya kuua raia au viongozi bali kulinda maslahi ya taifa sasa kwa nini wawaue wana nini hasa idara ya usalama wa taifa ifanye hivo, idara hii haifanyi kazi kisiasa inaangalia maslahi ya watz wote.

source;vyanzo mbalimbali vya habari ikiwemo wavuti

hapo kwenye red ina maana usalama wa taifa wakiona mtu ni tishio wanamuua kama walivyomfanyia ulimboka......haya sasa majibu yameanza kuonekana
 
Peter Mwininga

‎'Tokea dkt slaa atoe Tuhuma dhidi ya Chombo chetu Muhimu na nyeti KUKITUHUMU KINAWAFUATILIA KUWAUWA,NI MWENDAWAZIMU.UNAWEZA FUATILIWA MIENENDO YAKO HASA KWA MTAZAMO WA USALAMA WA TAIFA NA SI WEWE KAMA WEWE,KAULI ZINGINE TUCHUNGE MIDOMO YETU,SLAA SIO MTU MZURI,HATA KANISA LILIAMUA KUJIWEKA PEMBENI NAE,NI HATARI KWA TAIFA.mwenye kuelewa aelewe nawasilisha

hicho kimrija kinachokupa kiburi ndg yangu kitakatwa tu one day.acha ubinafsi ikulu kumechafuka na sababu kubwa kumekaa majitu yasiyokuwa na hofu ya Mungu.nawasilisha
 
Angalijibu mkuu wa usalama wa taifa ningemwelewa lakini Katibu Mkuu Kiongozi napata shida kuamini kuwa anayajua vema majukumu ya usalama wa taifa na pengine hata mipango yao.
Ukisoma vizuri tamko lake utaona kama vile anakubali kuwaua. Hebu nukuu ' Kwa nini wawaue viongozi wakati sio tishio lolote kwa wananchi? Kwa mantiki ya swali hili, ina maana kama mtu au kiongozi ni tishio kwa wananchi atauwawa. Tazama mfano Dr. Ulimboka kwa macho ya Sefue alionekana tishio kwa Afya za wananchi. Jibu la serikali ni kuuwawa. Nyuma ya mgomo wa madaktari (kama ilivyosemwa bungeni na Mbunge wa CCM Eng Stella Manyanya) kuna viongozi wa CHADEMA. Hivyo viongozi hawa sharti wauwawe. Kwa mujibu wa kauli ya Katibu kiongozi, yeyote anayeonekana kuwa tishio kwa watawala (neno wananchi kwenye nukuu yake hapo juu lisomeke WATAWALA) mshahara wake kifo.
Hebu pia tuiangalie CHADEMA katika medani za kisiasa hapa Tanzania. Katika chaguzi mbalimbali ni tishio kwa chama tawala au la? Katika ushindani wa hoja Bungeni, je; ni tishio au la? Wanaofuatilia mambo ya kisiasa watajibu kwa sauti moja NDIYOOOOOOOOOOOOO? Kwa hitimisho la kanusho la Katibu Kiongozi, wanapaswa kuuwawa tena haraka.
Je watu wanaotishia usalama wa wananchi wanauwawa? Kabla hatujajibu swali hili tuwajue kwanza wale wote wanaotishia usalama wa wananchi. Orodha ni ndefu, lakini hawa hawawezi kukosa.

  • Walioapa kuilinda katiba hawailindi.
  • Wanaotumia nafasi zao za kazi kujinufaisha wao, familia zao na marafiki zao
  • Wanaotumia nafasi zao kujilimbikizia mali
  • Wanaotumia rasilimali za nchi hii kwa ubadhilifu huku wakiacha sekta muhimu Afya, Elimu Maji nk
Hawa hawajapata kuuwawa hata siku moja. Hawa ni tishio la kweli na la wazi kwa wananchi
Katika mambo haya CHADEMA hawana nafasi ya kuyafanya,isipokuwa wanawaanika viongozi waoyafanya haya, hivyo ni tishio kwa viongozi hawa na sio kwa wananchi. Viongozi tishio kwa wananchi wanatumia neno wananchi kama kichaka chao cha kujificha huku wakiendelea kuwaumiza wananchi waliomba kuwatetea.

kweli you are a great thinker na si kibaraka Wa Magamba na umeonyesha na ushaidi wakutosha. Asante mkuu wangu.
 
...anajidanganya Sefue ni tunda zuri la mheshimiwa raisi wetu dhaifu,mwana wa gamba nae gamba,hana tofauti na mbuni anaefukia kichwa chake mchangani akidhani amejificha
 
Back
Top Bottom