Ukiangalia kwa makini tamko la Chadema lililotolewa na kada wao Marando kuhusiana na haya mambo ya Ugaidi ni dhahiri wazi mfumo wake ni wa Mwanahalisi zaidi.Kwa maana ya kwamba Chadema sio wao walioandaa ile report bali wamewatumia Mwanahalisi kufanya mambo yao.Haiwezekani Chama kisijue namba ya Naibu katibu mkuu mpaka tamko linatoka.Ndo hapo sasa napata wazo kwamba Marando alienda pale kusoma tu na wala hajui chochote kinachoendelea na nani aliyeandaa ile taarifa.
Mbona boss wenu Kikwete huwa anasoma hotuba ambazo hajui maudhui wala uhalisia wake na baadaye anagundua alidanganywa, au hujui hilo???
Kwanini mnang'ang'aniza kuwa ile namba ni ya Zitto?? Haya maneno mmeyatoa wapi mbona mnavichwa vigumu hivi??? Marando alisema namba ni ya Jack Zoka na Zitto alisema ile namba alishaitelekezaga miezi kumi iilopita. Kwa maelezo haya mawili wewe wawezaje sema ile ni namba ya Zitto na unawezaje kusema Marando aliandika namba ya Zitto mle??? Hebu someni kilichoandikwa msitumie intuition humu. Hii hoja ni Null and Void na inafaa kutupiliwa mbali.Ukiangalia kwa makini tamko la Chadema lililotolewa na kada wao Marando kuhusiana na haya mambo ya Ugaidi ni dhahiri wazi mfumo wake ni wa Mwanahalisi zaidi.Kwa maana ya kwamba Chadema sio wao walioandaa ile report bali wamewatumia Mwanahalisi kufanya mambo yao.Haiwezekani Chama kisijue namba ya Naibu katibu mkuu mpaka tamko linatoka.Ndo hapo sasa napata wazo kwamba Marando alienda pale kusoma tu na wala hajui chochote kinachoendelea na nani aliyeandaa ile taarifa.
Ukiangalia kwa makini tamko la Chadema lililotolewa na kada wao Marando kuhusiana na haya mambo ya Ugaidi ni dhahiri wazi mfumo wake ni wa Mwanahalisi zaidi.Kwa maana ya kwamba Chadema sio wao walioandaa ile report bali wamewatumia Mwanahalisi kufanya mambo yao.Haiwezekani Chama kisijue namba ya Naibu katibu mkuu mpaka tamko linatoka.Ndo hapo sasa napata wazo kwamba Marando alienda pale kusoma tu na wala hajui chochote kinachoendelea na nani aliyeandaa ile taarifa.
Ukiangalia kwa makini tamko la Chadema lililotolewa na kada wao Marando kuhusiana na haya mambo ya Ugaidi ni dhahiri wazi mfumo wake ni wa Mwanahalisi zaidi.Kwa maana ya kwamba Chadema sio wao walioandaa ile report bali wamewatumia Mwanahalisi kufanya mambo yao.Haiwezekani Chama kisijue namba ya Naibu katibu mkuu mpaka tamko linatoka.Ndo hapo sasa napata wazo kwamba Marando alienda pale kusoma tu na wala hajui chochote kinachoendelea na nani aliyeandaa ile taarifa.
Kwa wenye akili timamu wameshaunganisha dot ila kwa nyie wenye akili za kwendea chooni mtaona vumbi tu
Duh!! hii kali (TWO HUNDRED THOUSAND = 300,000), halafu jamaa anatabasamu?
Mimi sina shida na nani aliyefanya uchunguzi, iwe ni Mwanahalisi au gazeti gani sijui au Marando mwenyewe, cha muhimu kwangu ni , Serikali imehusika na ndio maana mara baada ya report ile kuwekwa mezani na Marando, yafuatayo tumeyasikia, kwanza, Jumatatu, keshi imefanyika FARAGHA na serikali imepiga mkwara wamiliki wa makampuni ya simu na tatu, Mwigulu kawa mpole kama ile issue yake ya kutishiwa kuawa ya sms wakati ule, kumbuka ni Marando mwenyewe aliyeka wazi! So kwangu mimi kikubwa ni story na sio nani kaleta story.