Tamko la CHADEMA - Aprili 14, 2013

Status
Not open for further replies.
Chadema inaelekea kusambaratika. It's time tu

Say nooooooooooo to ugaidi na mauaji na mateso dhidi ya aria wema

Kwann chadema wanapenda kuzungumzia mambo yaliyopo mahakamani...ni kujaribu kupreempty mahakama iwapendelee kwenye maamuzi..

chadema kila wiki wana tamko last week ilikuwa iringa wik hii marando may be wiki ijayo mushumbuzi kimekuwa chama cha matamko,maandamano.ugaidi,sumu,ukabila,ukanda bila kusahau propaganda badala ya hoja mbadala kwa ccm

Gaidi mtambue kwa ndevu nyingi, kufunga majini na kusoma minyoo!!
 
Hapo ndipo panapotushangaza sisi wote, ni kwa vipi anamtetea Msacky ilihali mlolongo wa matukio unaonyesha wazi kwamba ni mhusika? Kwanini asiassume kwamba Msacky anaweza kumgeuka sawasawa na ambavyo Ludovick alimgeuka Lwakatare waliyekuwa wanafanya kazi ofisi moja? Ila mimi nina uhakika kabisa, kwamba Zitto ndiye atakayekwenda kusimama mahakamani against CHADEMA. Katika hili tusubiri tu wakati.
 
Last edited by a moderator:
DU,hivi hawa CCM nia yao mbona ni ya kizamani hivyo,wanazani watamkamata nani watanzani wa leo.
 

Zitto, hakuna mtu mwenye haki kukuingilia katika maisha yako. Simu yako na unalipa bill mwenyewe kwanini watu wakuingilie na kukupangia mtu wa kuongea naye kupitia simu yako?, kwanini wakuchagulie marafiki?. Kuwa mkali kidogo ama ala watakuchagulia mpaka chupi ya kuvaa.

Huna hata haja ya kuwajibu huu upuuzi wa mawasiliano kati yako na rafiki/ndugu zako. Sanasana unaweza kuwashitaki kwa kuingilia kwenye mambo yako.
 
Ridhiwani yule aliyeleta utani katika Facebook baada ya kutekwa Kibanda? Mahakama isse order hayo mazungumzo yatumike kama ushahidi ukweli upatikane
 
umesomeka vizuri mkuu
 
Hili tamko limeshapoteza authenticity baada ya baadhi ya details zake za muhimu (namba ya simu), kuonekana kuwa si ya aliyetajwa katika tamko hilo. Kwa mantiki hiyo, nauomba uongozi wa JF, u-freeze thread hii kwanza, uwasiliane na watoa tamko, ili watoe clarification ya mkanganyiko uliotokea. Hapo wasomaji tutakuwa tumetendewa haki maana tangu Zitto alipothibitisha kuwa namba yake iliwekwa na kuitwa kuwa ya Zoka, mimi naona hata hizo nyingine na taarifa zinazozihusu ni unreal na nashindwa kuchangia chochote.

Naomba chondechonde, JF ilinde heshima yake, hasa kwa mambo yenye maslahi ya kitaifa kama haya kwa kuhakikisha tunachokisoma ni kweli, na kweli tupu..

cc Invisible
 
Hivi siku hizi suala likiwepo mahakamani ni ruksa kuliongelea au mimi ndiyo sielewi?hebu nielekezeni wadau.
 
hili ni pigo jingine takatifu kwa ccm,sielewi watachomoka vipi kwenye list hii mpya iliyowekwa hadharani na marando.
Wanaharakati wa chadema tuingie mitaani na kuwaanika hiki kikundi cha kigaidi.
 
tatizo ccm bado wanadhani CDM ni DR.Slaa na Mbowe, kila siku tunawaambie CDM ni taasisi iliyokamilika idara zote; sasa mambo yao yote ya mbinu za kitoto hadharani aibu tupu. we ulishaona mbinu ya kigaidi utungwe na Mwigilu eti Master Planer.
 
Gazeti hili nalo LITAFUNGIWA kama MwanaHalisi... subiria misukosuko itakayolipata
 
tatizo ccm bado wanadhani CDM ni DR.Slaa na Mbowe, kila siku tunawaambie CDM ni taasisi iliyokamilika idara zote; sasa mambo yao yote ya mbinu za kitoto hadharani aibu tupu. we ulishaona mbinu ya kigaidi utungwe na Mwigilu eti Master Planer.
nape mjanja kachomoa!
 
Hata wajioshe vipi swala la ugaidi limewashika pabaya watanzania wameshituka
 
Kama kuna Mungu na kama anawahurumia watu wanye maumivu makali hawezi kunyamazia maumivu aliyoyapata Ulimboka na Kibanda. Kungolewa kucha na meno na jicho! Du! Atawaweka peupe watesaji hao na kuwaadhibu siku moja tu!
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…