Tamko kwa wanawake wote.!

rubii jana ulinikimbia, njoo tumalizane sasa, au unaniogopa?
 
Aliyekwambia wanawake wote wanaishi maisha fake ya makope na mawigi atakua kakudanganya
 
ha ha ha! kuna kifaa kinauzwa cha kutafsiri maana ya maneno anayozungumza mwanamke, ni cha muhimu sana kunununua, akisema hataki usumbufu anamaanisha, nitumie vocha ndo unitext/unicall
 
ha ha ha! kuna kifaa kinauzwa cha kutafsiri maana ya maneno anayozungumza mwanamke, ni cha muhimu sana kunununua, akisema hataki usumbufu anamaanisha, nitumie vocha ndo unitext/unicall
Hiko kifaa kinawafaa wenyewe, na wakitumie wao sio sisi
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…