AsanteAgizo kwa Wanaume wa Dar toka kwa Wanaume wa Mikoani.
Kumekuwa na Tabia kila msiba unapotokea Dar mnajazana kuja kijijini kuzika...
+Mkifika hamchimbi kaburi.
+Hamumlilii marehemu
+Hamumswalii marehemu
+Hamumfukii marehemu
Mnachokiweza na kukaa na kupiga soga. Mmefanya misiba ni vijiwe vya kuzungumzia siasa.
Sasa tunasema hivi. Msiba ukitokea mbaki huko huko . mkija hakuna mnalofanya..
Mfano:
#1. Hata ukifika muda wa chakula unasikia "Wageni kutoka dar waanze kula kwanza"
#2. Siku moja tupo tunachimba kaburi, Tukaletewa maji ya Kunywa ya chupa.. Mzee mmoja akasema "maji ya kunywa yamenunuliwa kwa ajili ya wageni wa dar tu"
Wanaume wa DAR utawataka kwenye mabasi ya mwendo kasi. Ni dakika 30 tu hadi town. Wanavyokimbilia kuwahi viti ili wakae ni aibu. Wamelegea mno jamani.
Kauli hii imetolewa na:
Umoja wa Wanaume wa Mikoani. Wanaotambua maana ya "Uanaume"
Hii kitu kwa Dar wanalula Familia kumi na hawamaliziNgoja nipate mlo narudi sasa hivi!View attachment 380975
hebu waacheni wafadhili wetu mnataka wale sana ili iweje?Hii kitu kwa Dar wanalula Familia kumi na hawamalizi
Funga bakuli lako bwege wewe,nyie hamtakiwi kufungua mabakuli yenu,kaeni kimya kabisa wanaume wanapolumbana,umesahau juzi tu mmetoka kututia aibu?wanawake zenu wamevuka boda kutafuta wanaume kwa bamia zenu!!aibu sana hii,narudia tena nyamaza kimya.Haaahaaa
Mwanaume wa Dar anakula chips kavu na Bia.
Hapa Moshi naamka na supu ya mkia wa ng'ombe
Usijali soon itakuwa wanaume wa DodomaAgizo kwa Wanaume wa Dar toka kwa Wanaume wa Mikoani.
Kumekuwa na Tabia kila msiba unapotokea Dar mnajazana kuja kijijini kuzika...
+Mkifika hamchimbi kaburi.
+Hamumlilii marehemu
+Hamumswalii marehemu
+Hamumfukii marehemu
Mnachokiweza na kukaa na kupiga soga. Mmefanya misiba ni vijiwe vya kuzungumzia siasa.
Sasa tunasema hivi. Msiba ukitokea mbaki huko huko . mkija hakuna mnalofanya..
Mfano:
#1. Hata ukifika muda wa chakula unasikia "Wageni kutoka dar waanze kula kwanza"
#2. Siku moja tupo tunachimba kaburi, Tukaletewa maji ya Kunywa ya chupa.. Mzee mmoja akasema "maji ya kunywa yamenunuliwa kwa ajili ya wageni wa dar tu"
Wanaume wa DAR utawataka kwenye mabasi ya mwendo kasi. Ni dakika 30 tu hadi town. Wanavyokimbilia kuwahi viti ili wakae ni aibu. Wamelegea mno jamani.
Kauli hii imetolewa na:
Umoja wa Wanaume wa Mikoani. Wanaotambua maana ya "Uanaume"
Duuh hilo kono jeusii sijui likuria hiliNgoja nipate mlo narudi sasa hivi!View attachment 380975