shungurui
JF-Expert Member
- Sep 1, 2008
- 3,765
- 5,154
Hizo ndizo sarakasi za mpendwa wetu anayesimishwa barabarani, yaani magamba hata kudanya hamuwezi, nasubiri wizi wa kura
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Umeongea pointMaalim seif anaujua mchezo wooote ila anawageuza wenzie wapumbavu sina imani na maalim seif kabisaaa nadha naye ni mwanachama mtiifu wa chama cha makinikia ila ni kwa umakini mkubwa sana tena sana na ndio maana hata vikao vya usuluhishi alikuwa anataka aende peke yake, huyi maalim ana wauza CUF hakika,
Jiandae kufikishwa kwa Pilato. Usidhani kujificha kwa ID fake ndiyo uko salama. In this advanced electronic electronic era all social media data are accessible to the security organs without the awaress of even the owners of the respective electronic platforms. You can call it hawking.Hakuna namna unawazo kama langu ww, ni kumlaza chini tu huyu Lipumbavu shughuli iishe.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona umeandika kisichoelewekaMaalim seif anaujua mchezo wooote ila anawageuza wenzie wapumbavu sina imani na maalim seif kabisaaa nadha naye ni mwanachama mtiifu wa chama cha makinikia ila ni kwa umakini mkubwa sana tena sana na ndio maana hata vikao vya usuluhishi alikuwa anataka aende peke yake, huyi maalim ana wauza CUF hakika,
Cuf tifu tifu, full kutifuana. Kweli ccm noma!
Adui chongo ameshafariki na hajaacha mrithi wa mavurugubyake ya kiasili!Hivi zile sayansi za asili za Zanzibar zimeisha? Kama zingalikuwepo kama tulivyokuwa tunasimuliwa, mpaka sasa kuna watu wangeshapewa vibusha! Yaani wooote wanaowasema au kuifanya vibaya kafu wangekuwa na miondoko ya kutanua miguu na kutochomekea visuruali vyao.
Watu wa Zanzibar hususan Pemba waliwaogopesha sana watu, lakini mwee wamekuwa weupeeeee kama karatasi ya fotokopi. Yaani chogo bado wanawasumbua! Haiwezekani, au wamekosea mizimu?
Kazi yake ni kuwashughulikia ndani ya bunge,wengine wanashulika nje ya bunge!Vyama vimezaa uhasama si ushindani.Kuna watu wanaogopa DEMOKRASIA.Mhh... Huyu spika mungu anamuona!
Ha haaa acha kumtisha mwenzio mkuu by the way yy kamuita Lipumbavu we una mjua lipumbavu? case dismissed.Jiandae kufikishwa kwa Pilato. Usidhani kujificha kwa ID fake ndiyo uko salama. In this advanced electronic electronic era all social media data are accessible to the security organs without the awaress of even the owners of the respective electronic platforms. You can call it hawking.
wacha kutisha watuJiandae kufikishwa kwa Pilato. Usidhani kujificha kwa ID fake ndiyo uko salama. In this advanced electronic electronic era all social media data are accessible to the security organs without the awaress of even the owners of the respective electronic platforms. You can call it hawking.
Zitumike kufanya nini? Ebu malizia sentensi.Mi nadhani silaha zitumike.