TAMISEMI yatangaza ajira 6,180 kada ya afya

Wakuu Kuna dogo Kaniuliza Je unaandika Barua Ya Maombi au unaambatanisha vyeti tu?
Naomba Munisaidie Kumjibu manake Katika Vitu vya Kuambatanisha sijaona shemu iliyisema "Andika barua".
 
We dogo ujielewii kabisa asee kwani tangazo ujaliona nasioo mtuu kakuuliza niwewe mwenyewe health expert gani usiejielewa au ndo KAM college
 
duh mr loserfool vipi mkuu unaniangusha jirani andika barua ya maombi ukiambatanisha na vyeti husika ......tena uandike kwa mkono wako usiichape barua kwa kompyuta ..............nakutakia mafanikio katika hili
 
We dogo ujielewii kabisa asee kwani tangazo ujaliona nasioo mtuu kakuuliza niwewe mwenyewe health expert gani usiejielewa au ndo KAM college

Acha upimbi Mimi Sina uhusiano na Kazi hizi za Kiafya!
Mimi sijawahi Kuomba ajira wala sina criteria za kuomba ajira za Miafya Kwani Najituma mwenyewe Kwa shuhuli zangu binafsi Kwa Fani niliyosomea.

Mimi Ninayemuulizia Ni Msichana ambaye Kamaliza Chuo 2017 na Hayupo Hapa #JF Kwahiyo anataka Details kupitia mimi! Sasa Tatizo Nini?

Mimi Nilimaliza Chuo mwaka 2007 na sijawahi Kuomba ajira popote Kwani Nilianza Kufanya Kazi Kabla ya Kumaliza Chuo.

Na si Kila unaemuona hapa ukadhania Kuwa Ni Mdogo wako Kwani Usishangae Kuwa Baba Yako akawa ndiye Classmate wangu.
 
Back
Top Bottom