TAMISEMI yatangaza ajira 6,180 kada ya afya

Wakuu Nina mdogo Wangu Nataka Nimshtue Lakini Kabla Sijamwambia Ni Kwamba Yeye Amesoma Diploma Ya Pharmacy (Pharmaceutical technician) sasa He ipo hapo Katika Hizo Nafasi Za Ajira? Na Kama ipo Ni ipi hapo?
Manake Mimi hayo Mambo ya Afya siyaelewi Hasa.


Screenshot_20180511-202857.png
 
'Environmental health assistant II',
'Assistant environmental health officer II' and
'Environmental health officer'
Kwa kwenye hizo professional title aelezee kidogo.
Aaanteni sana
 
hmna jema nyie binadamu,mumelilia ajira hizo mmepewa lakini bado mineno mibayamibaya
 
Ushauri wa kijinga sana huo.. Ulio toa.... Punguza masiala. Sio kila sehemu på mizaha..

Ushauri wa kijinga upo wapi sasa hapo?

Hakuna mzaha mkuu, kuwa muelewa transcipt haziruhusiwi utakuwa unapoteza muda na pesa zako tu.

Punguza munkari kuwa na subira.
 
Back
Top Bottom