TAMISEMI yatangaza ajira 6,180 kada ya afya

Ushauri wa kijinga upo wapi sasa hapo?

Hakuna mzaha mkuu, kuwa muelewa transcipt haziruhusiwi utakuwa unapoteza muda na pesa zako tu.

Punguza munkari kuwa na subira.
Pole aisee. Afu usiwe unatoa ushauri kwa kitu usicho kijua. Nacte transcript zinaruhusiwa afu kuhusu kupoteza mda is not your matter aisee.. Hata nilivyokuwa nasoma nilikuwa napoteza mda tu.. Kwa upande wako.
 
Kama unajua zinaruhusiwa kwanini ulikuwa unauliza?

Hakuna mtu wa kukupangia wewe kazi mwenye transcript wakati wenye vyeti kamili wapo wa kutosha.

Tatizo hampendi kusikia ukweli na mna papara mno.
 
Kuna mtu kani pm baada ya kuona umeandika izo pumbu zako hapo
 
Kama unajua zinaruhusiwa kwanini ulikuwa unauliza?

Hakuna mtu wa kukupangia wewe kazi mwenye transcript wakati wenye vyeti kamili wapo wa kutosha.

Tatizo hampendi kusikia ukweli na mna papara mno.
Mkuu achana na dogo naona ana stress....

Kwa ushauri nakazia bila full transcript with certificate hakuna kuitwa kwenye usaili na kuna baadhi ya kozi hapo zitahitaji certificate ya profession husika so dogo ajitahidi kuwa mvumilivu hadi mwakani
 
'Environmental health assistant II',
'Assistant environmental health officer II' and
'Environmental health officer'
Kwa kwenye hizo professional title aelezee kidogo.
Aaanteni sana
Bwana afya ngazi ya cheti bwana afya diploma bwana afya degree
 
Mkuu achana na dogo naona ana stress....

Kwa ushauri nakazia bila full transcript with certificate hakuna kuitwa kwenye usaili na kuna baadhi ya kozi hapo zitahitaji certificate ya profession husika so dogo ajitahidi kuwa mvumilivu hadi mwakani

Mkuu Hizo Hazina Usaili, Serikali inatoa ordha Wa Majina Waliopata na Pamoja na Vituo Vyao Walivyopangiwa tu.
Kwahiyo atakaeona jina lake ndiyo amepata huyo, na atakae kuwa hakuona jina lake Huyo ndiyo amekosa.
Hakuna kuitwa Kwenye interview.
 
Mkuu Naomba Tofauti ya Hizo Assist. Pharmacist II na Pharmacist II
Kuna baadhi ya kozi hazina certificate mfano clinical dentistry diploma advance diploma na bachelor

Ikiwa pharmacy hawana certificate

Basi assistant pharmacist anakuwa ngazi ya diploma na pharmacist II ni mwenye bachelor
 
Mkuu achana na dogo naona ana stress....

Kwa ushauri nakazia bila full transcript with certificate hakuna kuitwa kwenye usaili na kuna baadhi ya kozi hapo zitahitaji certificate ya profession husika so dogo ajitahidi kuwa mvumilivu hadi mwakani
wewe nani mpaka ukatishe watu tamaa?nafasi hizi zimetoka na zinahusu watanzania hivyo acha ajaribu bahati yake punguza roho mbaya....wewe unafikiri atakuzibia nafasi?kama lizki yako ni yako tu mkuu mbona una wasiwasi?

TRANSCRIPT ZINARUHUSIWA HIVYO OMBENI TU MUSISIKILIZE HAWA WATU WENYE ROHO MBAYA UTASEMA NAFASI ZOTE 8000 ATAJAZA YEYE.
 
Back
Top Bottom