TAMISEMI ombeni kibali kingine cha ajira

Natafuta matibabu

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2020
Posts
262
Reaction score
301
Badala ya kuongeza muda wa kutuma maombi ya ajira ombeni kibali muongezewe Idadi ya ajira ili ziweze kukidhi hata nusu ya waliojitokeza kuomba hizo ajira.

Najua mtasingizia kuwa mambo yanafanyika kwa bajeti ila hali ni tete kama mnavyoona mafuriko ya wahitaji hizo ajira
 
Mkuu tatizo lililotengenezwa kwa zaidi ya miaka 6usitegemee kulimaliza kwa kipindi cha miezi 3!!mtakuja mlaumu tu mama!!!huwezi ukakimbilia kuajiri tu ili mambo mengine yasimame?meko aliharibu karibu kila sekta, tumpe muda mama alekebishe kidogo kidogo!!, hakuna nchi duniani inayoweza kuajiri wote, na tumefika huku baada ya meko kuua sekta binafsi ambayo ndio muajiri mkuu.
 
Sawa mkuu
 
Halafu kuna kima anasema tatizo hamjitolei vijana [emoji23][emoji23][emoji23] wakati anakunja 1.2M kwa connection ya mjomba wake!
Kama hauna chochote cha kusogeza siku, suala la kujitolea linakuwa gumu.

Yaani ukahitolee halafu urudi kulala njaa! kweli?
 
Unajitolea unaomba nauli nyumbani ya kwenda kazini

Mimi nilikuwa nawaambiaga kamwe sitakaa nijitolee nisome miaka mitatu unifanyishe kazi kama punda bila ujira .. wakasema nina dharau
.

Halafu kitu wasichojua watu ni kwamba makampuni wanawatumia hawa wa kujitolea kama cheap labour hawaajiri ng'o Wana Kaz ya kuwabadilisha
 
Back
Top Bottom