Niwaheri
JF-Expert Member
- May 2, 2020
- 1,795
- 2,790
Nimeamua kulileta humu labda nitapata relief, ni hivi nilifanya maombi ya uhamisho wa kubadilishana ambapo kwa ngazi zote mpaka mkoani nilikamilisha japo kwa mbimbe nilitumia miezi mitano(ila kimsingi ni kazi ambayo haimalizi hata mwezi)watakuzungusha makusudi tu.
Baada ya hapo maombi yangu kutoka mkoani yalipelekwa mwezi wa sita TAMISEMI na hili nilijihakikishia mwenyewe, mwezi wa kumi majina yalitoka sikuwepo ikabidi nifunge safari niende TAMISEMI niliwakuta na jina langu lilikuwepo kwenye database na kuniambia wako kwenye process za kutuma barua na watatoa majina mapema iwezekanavyo.
Baada ya hapo nilifunga safari ya kurudi nyumbani nimekaa weee mpaka mwezi wa pili hola, nikapata mtu yeye aliahama akaniconnect kwa mtu wake nikaweka kiasi fulani cha kutangulia ili ishu ikikamilika nimalizie mpaka sasa jamaa hapatikani sijui kafariki ama amekuwaje?
Kiufupi nahisi kuchanganyikiwa, Mchengerwa naye kimya sijui nimlilie nani.
Nimedata kwakweli hata ukitukana sijali wala nina shida zangu zinanifanya niombe uhamisho tena kwa haraka