Komando tamimy
Senior Member
- Nov 18, 2020
- 108
- 121
Wewe ni mhanga nimeona uzi wako msalimie sana mkuu wako.Mmh!
Big IQ + HQUnadhani Rais hajui?
AhsantePole sana
Wawakipe wanyonge wanateseka huko makaziniMagufuli na Dotto ndio walioshikilia fedha zetu sisi wananchi, kwa hiyo kuanza kuwasema TAMISEMI ni kupoteza muda tu.
Fafanua mkuuBig IQ + HQ
Msiniulize nimemaanisha nini, au nimesema Uongo ndugu zangu
Wanaitoa wapi wakatti hela yote inaenda hazinaWakurugenzi wawalipe halafu mishahara ikitoka watawadai
Subira yamvuta kheriJibu la nne ambalo lilinikatisha tamaaa kabisa ni nilijibiwa wanaajiri walimu wengine 5000 ili wakianza kulipa mishahara walipe kwa pamoja.
#THE LOST na unaroho mbaya kama jina lako. Hawa hawakuhusika kwenye uchaguzi tunsongelea waalimu walioanza kaziWalimu ni lazima wapigwe! IQ yao IPO near to madness. Let's them die alone. Siwezi kumsikitkia mwalimu aliyehujumu uchaguzi
Lini mkuu usilete umbea kwenye maisha ya watuAcha uchochezo walimu wameshalipwa kitambo sana
Kumbe wapuuzi sawa mhe: jaffoHao wanaolia ni wapuuzi sana, wasubirie serikali bado inajipanga, au kama vipi wakiona hali ngumu wanaweza kuacha kazi tu.