TAMISEMI acheni mambo haya

Komando tamimy

Senior Member
Nov 18, 2020
108
121
Ajira mpya za walimu mlizoajiri mwishoni mwa Mwaka jana mtu amepata ajira na ameripoti , mnamuandikia barua tena ya kusitishwa ajira sababu ikiwa hajasoma General studies huku mkijua kuwa Vyuo vyote vya Kitanzania General studies inasomwa kama Development studies chuoni na kwenye Transcript imeonekana, mnafeli sana TAMISEMI katika hili.

Nimeandika nafundisha Geography Kiswahili wakati nafundisha history Geography wamenila kichwa.
 
Wewe ni mbabaishaji,utaandikaje unafundisha Geography na Kiswahili kumbe unafundisha Geography na History?
Uwe mkweli siku nyingine.
 
Ajira mpya za walimu mlizoajiri mwishoni mwa Mwaka jana mtu amepata ajira na ameripoti , mnamuandikia barua tena ya kusitishwa ajira sababu ikiwa hajasoma General studies huku mkijua kuwa Vyuo vyote vya Kitanzania General studies inasomwa kama Development studies chuoni na kwenye Transcript imeonekana, mnafeli sana TAMISEMI katika hili.

Nimeandika nafundisha Geography Kiswahili wakati nafundisha history Geography wamenila kichwa.
Kwanini sasa ulidanganya? Wakati wajua ajira za walimu wanaangalia na uhitaji wa hayo masomo?
 
Ivi ukitaka Kuomba ajira kupitia tamisemi unafanyaje naomba mnieleweshe pls.. Na hizi ajira zilizotangazwa na mama wanaanza lini kuomba jaman,,
 
Back
Top Bottom