WISDOM SEEDS
JF-Expert Member
- Jun 1, 2011
- 841
- 282
WaJF, kati ya wanasiasa hawa wawili; John Shibuda na Tambwe Hizza nani mwenye hekima
au mwenye mchango mzuri kwenye siasa?
au mwenye mchango mzuri kwenye siasa?
dah! mtihani mgumu.lakini bora shibuda.hiza usiombe kumsikiliza yaani ni upupu upupu.
Mbowe na Slaa hawawapati hao jamaa kwa siasa.

Mbowe na Slaa hawawapati hao jamaa kwa siasa.
Wote mabwegeWaJF, kati ya wanasiasa hawa wawili; John Shibuda na Tambwe Hizza nani mwenye hekima
au mwenye mchango mzuri kwenye siasa?

WaJF, kati ya wanasiasa hawa wawili; John Shibuda na Tambwe Hizza nani mwenye hekima

au mwenye mchango mzuri kwenye siasa?

Kaka yao ni MAKAMBA

kwanini usingejihita zombie