Tambwe Hizza VS John Shibuda

nafikiri afadhali Shibuda kuliko Hiza maana tunapata misamiati mipya na maneno mapya ya kiswahili kama UJIRA WA MWIA

Shibuda huwa namtazama anapo ongea lile domo lake kubwa, anajuwa kulitumia kuongea upupu! Halina point yoyote zaidi ya kutokota pumba-nadhani siku zake zinahesabika Chadema, bado amevaa gamba inatakiwa arudi alikotoka huku kwa wapambanaji hatoshi!
 
shibuda kichwa hataki kuburuzwa, anajitambua ni mbunge anayependa uhuru wa kuongea hata alipokuwa ccm alikuwa hivi hivi, ni mtu mwenye msimamo usioyumba.
 
Nasikia walilelewa na bibi zao ndo mana !
Ila washkaji kama ni kukamua pumba ni noma na kuna mwingine ndugu yao makamba nae noma >???
 
WaJF, kati ya wanasiasa hawa wawili; John Shibuda na Tambwe Hizza nani mwenye hekima
au mwenye mchango mzuri kwenye siasa?

Wote ni uozo.......kwanza nasikitika sana kwanini CDM tulimkubali huyu Shibuda...lol!!!
 
Inafurahisha sana na imenifikirisha lakini nadhani bora Shibuda maana Tambwe ni garasa hasa shibuda ng'anda 6 Tambwe ng'anda 3
 
Hahahaaa, kaazi kweli kweli, mmenifanya nicheke na hii mada plus comments zilizomo.
 
dah! mtihani mgumu.lakini bora shibuda.hiza usiombe kumsikiliza yaani ni upupu upupu.

Jamani Hiza ni mtu aliyepitwa na wakati. Do not count him kama mwanasiasa. Halafu shule yake kiduchu.
Mh. Shibuda ni Mwanasiasa Jasiri, amewezaa chama na kapata ubunge. Matatizo mengine madogomadogo atasaidiwa na Komandoo SLAA.
 
Back
Top Bottom