Tambwe Hizza: Nitagombea Urais


daah kwa namna hii hata MSALANI nae si ajabu akatangaza kugombea urais.
 
Last edited by a moderator:
huyu hata jina lake tu halifai, eti rais wa jamhuri ya watanzania ndugu sijui bwana tambwe hiza, duu, n kama mkosi vile
 
Ujinga nikudhani urais ni kitu cha ajabu sana as if kuna watu fulani ndiyo wameumbwa kuwa marais...anybody cn b anythng kama kweli ana nia thabiti...acheni hizi mambo za ajabu oohh urais umekuwa rais my as.!
 
mwenye nia,sifa na uwezo na apewe nafasi.kwan kugombea kuna kosa gan?hata mjumbe wa nyumba kumi akitaka urais poa tu.c ana cfa za kua mgombea?
 
Ujinga nikudhani urais ni kitu cha ajabu sana as if kuna watu fulani ndiyo wameumbwa kuwa marais...anybody cn b anythng kama kweli ana nia thabiti...acheni hizi mambo za ajabu oohh urais umekuwa rais my as.!

Upumbavu ni kukakamaa huku ukiamini kuwa kila mmoja ndani ya ccm anaweza kuwa Rais wa Tz.
 
Hiza angekuwa chadema asingekuwa na mpinzani
 
Tanzania hata bila rais inakwenda tu, labda akagombee urais wa kijiji chao.
 

Ha ha ha ha ha!!!!!!!!!!!!!!!
 
Yaani kuwa mfungaji bora msimu mmoja tu ndio amepata umaarufu wa kugombea urais!?

 
Huyu jamaa ni jana tu kuna mahali nilimskia mtu akimuulizia,na anasikika wakat muafaka,maana mwakani ndio mwaka wa fwedha
 
Saizi urais umekuwa rahisi sana kwa 7bu Jk ameiendesha taasisi hii kishikajishikaji tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…