Tambwe Alonga na Lunyungu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tambwe Alonga na Lunyungu

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Lunyungu, Sep 28, 2008.

 1. Lunyungu

  Lunyungu JF-Expert Member

  #1
  Sep 28, 2008
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 8,836
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 145
  Nimepata wasaa wa kusema na tapeli na mroho Tambwe Hizza wa CCM juu ya maisha yake hadi hapa alipo leo .Maongezi ni haya

  Lunyungu: Tambwe karibu Tarime na naona umejiandaa kwa ushindi dhidi ya marafiki wa zamani yaani watu wa upinzani.

  Tambwe:Asante bwana Lunyungu nawe karibu Tarime , maana nakujua wewe kwenu ni Iringa so sisi wote ni wageni .

  Lunyungu:Leo uko CCM tena mkuu wa Kitengo cha uongo wa CCM, najua ulikuwa na biashara zako za kuuza vifaa vya ofisini pale karibu na ofisi za Jijiji , je unaonaje mafanikio katika kitengo hiko kipya na mafanikio ya biashara yake ile ambayo sina uhakika kama inaendelea bado .

  Tambwe:Biashara ile ilikufa nikiwa upinzani na CCM wakanibana sana kama unavyo wajua .Lakini kwa sasa nimeungana nao nina biashara nzuri sana ya kuuza uongo wao ili mradi mie nakula na kupata malipo ya muda wote nikiwa upinzani .

  Najua utanieleza kwamba nime saliti umma wa Watanzania kwa kuingia CCM na sasa niko mahali kama Tarime lakini ujue Lunyungu wanangu walikuwa hawaendi chooni kwa raha kama ilivyo sasa .

  Lunyungu: Ulihama Upinzani ukawa na madai makubwa dhidi yao je hadi sasa una msimamo ule ule juu yao kama ulivyo wahi kutueleza juu ya CUF na NCCR ?


  Tambwe: Lunyungu ,wapinzani ni marafiki zangu sana maneno niliyo yatumia yalikuwa kama sawa na mtu kumtongoza bibi mpya , so nilitaka kueleweka .

  Tambwe: Lunyungu mbona wewe una tumbo kubwa kama majibu ya CCM ?

  Lunyungu: Majitu ya CCM ukiwemo wewe Tambwe ?

  Tambwe : Mimi si CCM ila nimekuja kwao ili niweze kula na mambo yangu kunyooka .Maana hata sasa napata simu kibao za Mawaziri wana nibabaikia kwa kuwa kila mmoja anataka niende kwake kumsaidia kumuuza kwa wapiga kura wake .Kwa hiyo ujue kwamba nilienda CCM kula kama akina Nsanzugwako na Kabouru .Ila pungu kitambi usiwe kama mijitu ya CCM ambayo inamtegemea Tambwe aisaidie kisiasa.

  Lunyungu: Umekuwa ukisimama na kutoa madai mazito juu ya upinzani kwa ajili ya tumbo lako kama ulivyo sema lakini ukweli unaujua kwamba CCM ni watu hatari na they cannot deliver , je huoni kwamba unawaua watanzanai kwa kuwaaminisha uongo ambao nawe unakiri kwamba ni uongo wa CCM ili wabakie madarakani ?

  Tambwe: Watanzania wenyewe wanajiua maana CCM ilisha wajua kwamba hawana msimamo wala hawajijui sasa mimi natumia maneno yale yale ya CCM ambayo wanataka niseme ili nami maisa yangu yanyooke .

  Lunyungu: Kuna utata sana juu ya Elimu yako na hasa wakati ule ukiwa NCCR ulitaka kuondolewa kutoka kugombea Ubunge wa Temeke lakini ukasaidiwa na nguvu ya Vijana wa Chama hicho , kulikuwa na madai ya ku foji vyeti nk , leo unasemaje .

  Tambwe swali hili sitalijibu sana ila nataka nikwambie kwamba ndiyo maana niko CCM ili niishi maana hata ukianzisha hilo leo hakuna wa kukusikiliza .CCM wananitegemea sana na hawaulizi Elimu yangu ya nyuma .


  To be continued ................................................
   
 2. Kibunango

  Kibunango JF-Expert Member

  #2
  Sep 28, 2008
  Joined: Aug 29, 2006
  Messages: 7,639
  Likes Received: 185
  Trophy Points: 160
  Hivi ule ukumbi wa jokes umejaa?
   
 3. Yona F. Maro

  Yona F. Maro R I P

  #3
  Sep 28, 2008
  Joined: Nov 2, 2006
  Messages: 4,237
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  wewe kibunango shauri zako , wehaya tu
   
 4. Lunyungu

  Lunyungu JF-Expert Member

  #4
  Sep 28, 2008
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 8,836
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 145
  Unajua mkuu Kibunango kama huna hoja unaweza kupita na kuacha utani kwenye mambo ya maana .Hizi si jokes wala mchezo .
   
 5. Yona F. Maro

  Yona F. Maro R I P

  #5
  Sep 28, 2008
  Joined: Nov 2, 2006
  Messages: 4,237
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  unavyokaa hapo mbele katika komputa iliyounganishwa na ttclmobile huwa unafikiria jamii forum niwatupie chochote tu watakubali wataamini na watanikubali moja kwa moja
   
 6. K

  Kipanga JF-Expert Member

  #6
  Sep 28, 2008
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 679
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  ....Are u' serious Lunyungu??? Lakini Sisiem ukiwa mwenzao unakula tu hata ukikomba mboga hakuna wa kukuuliza....
   
 7. Lunyungu

  Lunyungu JF-Expert Member

  #7
  Sep 28, 2008
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 8,836
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 145


  Kipanga nakueleza haya ndiyo maneno ya Tambwe mwenyewe na kama kuna mtu anabisha basi niko naye hapa Tarime amweleze aje ajibu hoja hizi kama sijafanya naye mahojiano.

  SHY kwa leo nakuacha tu ila utafika muda wako nitakueleza .Kwa sasa najikita katika hoja ambayo ni mahojiano .
   
 8. L

  Lorah JF-Expert Member

  #8
  Sep 29, 2008
  Joined: Aug 22, 2008
  Messages: 1,193
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  mi sishangai hata kama ni usanii unafanana na ukweli, kwani watu wengi wa ccm nilioongea nao wanakuambia ukitaka mambo yako ya kuharibikie jiunge na chama kingine mfano hai ni yule aliyekua na bar pale Air port!
   
 9. Kibunango

  Kibunango JF-Expert Member

  #9
  Sep 29, 2008
  Joined: Aug 29, 2006
  Messages: 7,639
  Likes Received: 185
  Trophy Points: 160
  hii nyepesi itaendelea lini?
   
 10. K

  Kipanga JF-Expert Member

  #10
  Sep 29, 2008
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 679
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  ...Eboh! unataka kuniambia ile bar pale airport ilivunjwa kwa sababu mmiliki hakuwa mwana-Nambari 1 mwenzao? Mbona nasikia Makamba alipokuwa RC Dar alidai alikuta watu saa 2 asubuhi wanakamua mtungi akahoji kulikoni watu kukandamiza lager majogoo? Hela wamezitafuta saa ngapi au ni majambawazi??
   
 11. Lunyungu

  Lunyungu JF-Expert Member

  #11
  Sep 30, 2008
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 8,836
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 145

  Tanzania ina mambo kibao .Kibunango nitaendelea na mahojiano muda muafaka so ondoa wasi wasi mie niko bize hapa Tarime .
   
Loading...