SAGAI GALGANO
JF-Expert Member
- Nov 13, 2009
- 50,094
- 75,538
Samwel Doe alikuwa anapigiwa mizinga 21 lakini kamaliza mwendo wake kwa fedheha kubwa.
Ntaomba uitunze hii 10 yrs to come maana hata kina habinder seth na lugemalila enzi zao za majigambo na hawakuwahi kufikiria kama kuna siku wangepigishwa magoti mbele kamera tena chin ya ulinz wa jeshi la polisi na nadhan hata lugumi hakuwahi kufikiria chochote enzi za majigambo yaoDua la kuku
aka maneno ya mkosaji.Dua la kuku