Tambueni mwenye kinga ni Magufuli tu,wengine ipo siku

Maisha haya kuna watu wanajisahau sana,wanajiona kama wao ni wadogo zake Mungu na maisha yatabaki hivihivi siku zote.

Orodha ni ndefu lakini watu hawa ni wale wanaotumika kupokonya haki na maisha ya wengine. Mateso yanayowapata kina Lissu, Ben Saanane na wengine yanauma sana. Ajabu hakuna mwenye time nao.

Angalia watu walivyoumia wakati wa uchaguzi mdogo. Wengine wamekufa. Wenye mamlaka wanasema uchaguzi ulikuwa huru na haki

Nimewataja kwa uchache lakini ni wale wote wanaopokonya haki na maisha ya wengine wasio na hatia.

Nawakumbusha hapo zamani tulikuwa na kina Lowasa, Sumaye, Malechela, Sitta nk
Wako wapi sasa hivi hawana nguvu tena. Kulikuwa na Idi Amini, Mugabe aibu walizopata wote tunazijua

Sisi hatuna cha kuwafanya lakini ni suala la mda tu,ipo siku
Hana Kinga ya Kuvunja Katiba Ndio Maana Aliapishwa! Anachofanya Magufuli ni Uhaini na Akipinduliwa ni Military Tribunal na hukumu yake ni kuzungushwa Mitaa ya Dar er salaam kwenye Kitoroli Kama Samwel Doe!

photo_essa_uspolicy.jpg

BB.jpg

Wana UKAWA wa Liberia wakiwa Wamekata Mshenzi Masikio, na hata Nanilii, Alikiwa akisema hivyo hivyo Mimi sipangiwi Mambooooo Alikiwa akijifanya anapambana na Rushwa akipiga watu Risasi, huku akiwa Yeye ndiye Fisadi No 1, Mungu hachezewi Bongo movie wala hacheki na Makima!
 
mimi nimembuku Bashite.
 
Si vizuri ukitoka madarakani unakuwa na wasiwasi kila ukitembea unaangalia nyuma kwa woga. Kaa na watu vizuri kila kitu kina mwisho.
 
Ndiyo wajijue hao watu mabingwa wa kupokea "maagizo" toka juu kuwa ipo siku itafika tuuu, ambapo Presidaa hatakuwa Magu

Wasijidanganye wakafikiri kuwa Magu ni Life President wa nchi hii
Ndio maana wanataka kufanya term moja iwe na miaka 7...ili waendelee kupokea maagizo
 
Unasema hivyo kwa vile wewe si ni vuvuzela tuu huna impact yeyote!
Wakati wenzenu wakina Bashite watakapo kuwa ile miwowowo wameipeleka Segerea nyie mtaendeleo na mambo yenu mtaani kama kipindupindu kitakuwa hakijakupitia
Mama mbavu zangu😀😀 😀
 
Si vizuri ukitoka madarakani unakuwa na wasiwasi kila ukitembea unaangalia nyuma kwa woga. Kaa na watu vizuri kila kitu kina mwisho.
Hii ndio sababu itakomfanya Magu asitoke ikulu
 
Kiongozi wa zamani wa Ghana Jerry Rwallings kutokana na uongozi wake ulivyokuwa makini na mwenye upendo na kuheshimu watu sasa hivi unaambiwa anaweza hata kuzunguka mitaani Accra na sokoni akaingia kwa miguu huku akisalimiana na kila mtu.
Anaheshimika na kupendeka kama raia wa kawaida na ana enjoy life na furaha ya uzee wake pamoja na kuwa alishafanya mambo yaliyo wahi kuwauzi wachache lakini ilikuwa ni kwa kufuata sheria
 
View attachment 655575
Kiongozi katili na korofi wa Liberia akizungushwa mitaani akiwa kakatwa masikio na uume

Maisha haya kuna watu wanajisahau sana,wanajiona kama wao ni wadogo zake Mungu na maisha yatabaki hivihivi siku zote.

Orodha ni ndefu lakini watu hawa ni wale wanaotumika kupokonya haki na maisha ya wengine. Mateso yanayowapata kina Lissu, Ben Saanane na wengine yanauma sana. Ajabu hakuna mwenye time nao.

Angalia watu walivyoumia wakati wa uchaguzi mdogo. Wengine wamekufa. Wenye mamlaka wanasema uchaguzi ulikuwa huru na haki

Nimewataja kwa uchache lakini ni wale wote wanaopokonya haki na maisha ya wengine wasio na hatia.

Nawakumbusha hapo zamani tulikuwa na kina Lowasa, Sumaye, Malechela, Sitta nk
Wako wapi sasa hivi hawana nguvu tena. Kulikuwa na Idi Amini, Mugabe aibu walizopata wote tunazijua

Magufuli mwenyewe anaweza kuvuliwa kinga anayoitumia sembuse nyinyi?

Sisi hatuna cha kuwafanya lakini ni suala la mda tu,ipo siku

Naona sasa makamanda mmenyoosha mikono na kuomba po! CCM bado sana kutoka madarakani na hizo hisia zenu hazitatimia
 
Wanafahamika, unadhani aliyempiga risasi Lisu hajulikani, aliyempoteza/aliyemuua Ben hajulikani? and many others!
Hawa wanaofanya hizo kazi sidhani kama wanakuaga na mwisho mzuri....i think karma huwa inawatafuna kama cancer...na hata wakifa ni motoni tu
 
Ukishindana na muda utaumia. Time will tell. Time is the best teacher.
 
Hana Kinga ya Kuvunja Katiba Ndio Maana Aliapishwa! Anachofanya Magufuli ni Uhaini na Akipinduliwa ni Military Tribunal na hukumu yake ni kuzungushwa Mitaa ya Dar er salaam kwenye Kitoroli Kama Samwel Doe!

photo_essa_uspolicy.jpg

BB.jpg

Wana UKAWA wa Liberia wakiwa Wamekata Mshenzi Masikio, na hata Nanilii, Alikiwa akisema hivyo hivyo Mimi sipangiwi Mambooooo Alikiwa akijifanya anapambana na Rushwa akipiga watu Risasi, huku akiwa Yeye ndiye Fisadi No 1, Mungu hachezewi Bongo movie wala hacheki na Makima!

MKUU UMEANDIKA KWA HISIA SANA..
"UMERUSHA JIWE GIZANI"
 
Back
Top Bottom