ladyfurahia
JF-Expert Member
- May 10, 2011
- 14,699
- 9,463
Pole sana bestito ladyfurahia
Nashukuru umerudi salama, na mambo yalienda salama!
Kijijini kwenu kutamuuu.............kuna kuku wa kienyeji?
Pole ladyfurahia kumbe na wewe ni wa kule kwetu?
Pole...Mungu ni mwema...
Pole Bestito..........tuko pamoja
Kumbe ulifikwa na msiba...poleni sana!!!
kijiji gani hicho??
Pole na hongera kwa kumaliza salama!!
Oohhh pole sana shostito, Mungu akupe ujasiri na nguvu za kuendelea mbele! Na asante kwa ujumbe!
Best nashukuru sana kutamu kuku, bata, ng'ombe na hata mbuzi wako best
tumeneemeshwa sie karibu sana kijijini kwetu umemuona ladyf hapo chini?