Tambua kirahisi simu fake

Tambua kirahisi simu fake

mpepalilambo

Senior Member
Joined
Jun 27, 2012
Posts
194
Reaction score
40
Kwa wanaotaka kununua simu za bei kubwa, Njia rahisi ya kutambua simu fake ni kwa kutumia imei-checker. Nenda dukani ukiwa na simu nyingine yenye net. Google imei cheker, fungua website yake na ingiza number za imei ya simu unayotaka kununua na utapata taarifa za simu hiyo. Maelezo yakitofautiana na simu unayotaka kununua jua simu hiyo ni fake.

NJia nyingine rahisi nenda na simu yenye application ya barcode scanner. Scan barcode kwenye box la simu unayotaka kununua na itakupa kila kitu. Isipokupa direct bofya kitufe cha google au e bay. Isipokupa aina ya simu tia shaka. All the best.
 
Back
Top Bottom