Tambua dalili za mwanamke anayeanza kuukubali uhusiano wenu...

tehetehe mbona mama Ngina hakuniosha ishara hata moja ya hizo? loh! ila ananipenda

NG`WANA ONG`WA DOYI huyo kaanza kukupenda majuzijuzi tu......................mlipoanzana allikuwa hakufahamu na hamu pia ilikuwa imepoa ndiyo maana dalili hukuweza kuzishtua...........
 
Hela za pedi nywele. Vocha nauli kabla ya penzi

Vicent daudi kama hata matumizi ya undani wake kama pedi kakutajia basi hiyo ni ishara tayari umekwisha kumtafuna kiroho mbayakabisa......... na usafi wake lazima uhusike.........kumchafua unasikia raha kumsafisha kigugumizi tutafika kweli?
 
mhm! haya ni makubwa tena sana angalieni msijeingizwa mtini kwa kupenda visivyopendeka mm nawaasa tu hasa Bujibuji
afrodenzi wakija kwa stahili hiyo angalia kama wana kasi ya kufanikisha azma zao basi ujue hao waweke kwenye mpango wa kando..........................lol kwani yabidi ibilisi avune alichopanda tu hakuna ujanja mwingineo.
 
Last edited by a moderator:
Mm huwa wananiuliza wakati wa usiku kwa sms, umelala na nani? Asubuhi huwa wananiamsha wakiniambia nimuache huyo niliyemkumbatia niende kazini, je hapo nawindwa napo wakati wanajua kwa umri wangu nina mwenyewe.
 
grafani11 mwenye muda wa kupoteza kiasi hicho i lazima unampagawisha........................tatizo la kizazi hiki kinachoabudu ngono ni kuwa kinapendelea kubanana..........................kwahiyo usitafute visingizio chukua hatua.....................na kurekebisha hii khali.
 
unaweza kuuliza lakini sio at the first sight!

Mi nadhani hiyo ni sehemu ya utambulisho at the first sight.....kwamba mimi naitwa Kamanda Kazi, naishi Kwa tumbo, nafanya kazi machimbo ya Kokoto Kunduchi. Na mimi hivyo hivyo naitwa LD naishi Masaki nasoma IFM.
 
haa haaa...umefanya nicheke aisee! chukua tano basi b'coz you have made my day so good!
 
  • Thanks
Reactions: LD
Mm huwa wananiuliza wakati wa usiku kwa sms, umelala na nani? Asubuhi huwa wananiamsha wakiniambia nimuache huyo niliyemkumbatia niende kazini, je hapo nawindwa napo wakati wanajua kwa umri wangu nina mwenyewe.
dah signature yako imenifurahisha sana mdau
 
Mahusiano kati ya mwanaume na mwanamke ni very complex kuliko tunavyofikiri...
 
Back
Top Bottom