Ulukolokwitanga
JF-Expert Member
- Sep 18, 2010
- 8,397
- 7,979
-Kitendo hiki hakipaswi kufumbiwa Macho na wazalendo wa Nchi yetu.
-Siku chache zimepita mapema wakati wa kupitisha makadirio ya bajeti Wizara ya Nishati na Madini, Mh.Olesendeka alihoji Juu ya sakata la IPTL na wasiwasi wake katika Utekelezaji wa Ahadi za Rais Mh.Dk.Jakaya kikwete katika Jimbo lake Hata kufikia hatua za kutoa ushaidi wa Machapisho na nyaraka.
-Waziri Pro.Muhongo Bila "AIBU" alimzodo na kuzalilisha Mh.Olesendeka kwa maneno:
¤Olesendeka ni mchochezi na uanchama wake CCM Unapaswa kupimwa upya na akakabidhi Cd kama ushaidi wakile alichosema.
¤Akajaribu kuonesha matokeo ya Olesendeka ya sekondari dhana ambayo ina maana akupaswa kusikilizwa kwa Ufaulu aliokuwa nao.
¤Muhongo akabeza nyaraka na machapisho yaliyo wekwa mezani kama Ushahidi kwa kudai yeye ana Tani moja ya makaratasi kama hayo.
Kitendo alichofanya waziri wangu Muhongo akipendezi.
``Ninamtaka Waziri kutekeleza mujukumu yake pasipo kuwagawa watanzania na viongozi wao kwa misingi ya Elimu``.
Mkuu. Nichangie au nijibu hoja zako takriban tatu au nne bila kuingiza siasa au vyama vya siasa kama ifuatavyo:
1. Si kazi ya serikali kukuza mitaji ya wananchi,mitaji inakuzwa na taasisi mbalimbali katika sekta binafsi na za uma mfano mabenki nk. Kazi ya serikali ni kuweka sheria na ku regulate shughuri zao.
2. Si kazi ya serikali kushawishi wafanyabiashara waungane. Wenyewe wanatakiwa wajitambue,wawe wamoja na wasipigane majungu.
3. Kuhusu serikali kuanzisha shirika/kampuni kisha iuze shea,ndicho serikali inachofanya,tayari TPDC inasimamia gas na utafutaji mafuta,na soon itauza share ,na ndio maana mnaambiwa nendeni TPDC mkaeleweshwe,hamtaki mnabaki kupiga majungu mtaani. Mwisho umesema kiongozi mzuri ni yule anayezungumza machache na kutenda mengi,sawa,sasa mbona hayo machache anayozungumza Prof .Mhongo hamyasikilizi,mnampiga majungu tu ili aache kazi zake awe kila siku anajibu majungu ili atoke kwenye mstari? Nawachukia baadhi ya viongozi wa CCM wasio wachapakazi na mafisadi. Lakini Prof. at least naona afanyacho.
Siwezi kufanya kazi na mjita kwasababu sijaajiriwa.
Amezidi kwa tambo na yeye!!
Tatizo Mtu akiongea Ukweli Nchi hii anaanza kuchambuliwa , Mnapenda kudanganywa sana
Unahoja au maneno matupu kama mnyika kuanza kutoa story za sungura na paka.
Mkuu usiseme hivyo!
Hata kama una ofisi yako unaweza kumwajiri hapo ndo utajuta kumfahamu! Ofisi yako lakini utatamani uikimbie!!
Vile vijiji vilisaidia kuleta umoja na mshikamano ila sio kupunguza umasikini.
Kule kama ndo kulikuwa kuleta umoja, ilikuwa ni wrong strategy, the results are too bad, worse. Tanzania hakuna umoja kati yetu, tafsiri sahihi nadhani nikusema kuna hofu na ujinga.