Tambo za waziri Muhongo

Tambo za waziri Muhongo

amakyasya

JF-Expert Member
Joined
Jun 26, 2013
Posts
3,480
Reaction score
918
Kati ya wanasiasa na viongozi serikalini wenye tambo, jeuri, majivuno, majigambo au misifa prof. SOSPETER MUHONGO anaweza kuingia tano bora kama sio kuongoza. Kwa haraka haraka jana tu katika mjadadala wa wizara ya nishati na madini aliweza kusikika kwa tambo zifuatazo;

1. Watu wanajifanya wana ushahidi tena ushahidi feki! Mimi nina ushahidi wa gari zima la tani moja

2. Mbowe ananionea huruma wizara yangu kuwa kubwa inahitaji kugawanywa! Nadhani hanifahamu vizuri, mimi nimeongoza tafiti za geology afrika nzima

3.Nilidhani Ole Sendeka ni genious kumbe...watu wameniletea cheti chake cha matokeo ya sekondari

Kwa aliyemsikia jana au siku nyingine yoyote ongezea tambo zake, ikiwezekana ongezea hata kauli za voja za viongozi wengine
 
Hapo uongo uko wapi bavicha mambo mengine mnajiaibisha bure yote aliyosema muhongo ni kweli tupu.
 
Unahoja au maneno matupu kama mnyika kuanza kutoa story za sungura na paka.

Hoja ni kuwa Muhongo haaminiki labda kwa wale wa chama cha manyani ambao sifa yao kubwa ni kujitoa ufahamu.
 
Hapo uongo uko wapi bavicha mambo mengine mnajiaibisha bure yote aliyosema muhongo ni kweli tupu.
We Interahamwe umepagawa neno uongo liko wapi kati uzi wa mleta mada hapo? Mleta mada kaorodhesha tambo za muhongo. Tumia akili.
 
Katika hayo aliyoyasema kipi cha uongo??? Ukiwa CCM lazima uwe unajiamini...

Kauli zote na tambo zote zinatakiwa ziende na vitendo. Bahati mbaya katika wizara za serikali yake ni kati ya wizara zinazoongoza kwa kuitia umaskini nchi hii kwa kusamehe ushuru na kodi. Pia ni wizara hiyo hiyo inayoongoza kwa kuwa na mikataba ya ovyo isiyo na tija na wananchi.

Kwa hiyo, pamoja na kuwa Professor, pamoja na kuwa na lori la ushahidi, pamoja na kuwa ameongoza research Africa,...what for, ikiwa performance yake na wizara yake ni ya ovyo? Haina maana. Ni heri ya kina Magufuli ambao pamoja na kujitutumua wameishia kutujengea barabara zisizo na sifa, na hata hawajisifu tena!
 
Mwanasayansi kwenye wizara yenye biashara nyingi.
I dont see the corelation
 
Unahoja au maneno matupu kama mnyika kuanza kutoa story za sungura na paka.

Ukiwa na hasira nirahisi madhaifu yako kujitokeza mbele ya kadamnasi hata kama uliyaficha vipi!
 
Mjita huyo, hawa watu wanapenda sana kujisifu. Ukiwa na mjita hata ofisini kazi mnayo ni kama wale wa Ule mkoa ambao Id Amin alitaka kuupora ni the same species different phyla. USIMSHANGAE NI UTAMADUNI WA WAJITA HUO, AKIWA MWALIMU WA PRIMARY ANAJIONA KAMA OFISA ELIMU WA WILAYA. Wengi ni walimu na Mahakimu pia Maaskari polisi.
 
Muhongo yuko sawa, mbona wengine hujidai kuwa mbunge mmoja wa cdm ni sawa na wabunge hamsini wa ccm sasa leo majibu mmepewa mkitaka mmeze au mteme, akili ya muhongo ni sawa na uwezo mzima wa chama cha cdm na wapambe wao.
 
Tofautisha kati ya kujisifu na kusifiwa, kah!
 
Namdharau dispite the fact amenizid elimu na Maendeleo. Kiongoz maana yake nn? Sidhan kama anafahamu wajibu wake vyema..

Kama anasema watanzania hawawez kuwekeza kwenye gas, kwann asitafute namna ya kukuza mitaj yao?

Serikal inaweza Organise, ama shawish wafanya biashara wakubwa kuunganisha mitaj yao kisha kuwekeza ktk uzalishaj wa gas.

Ama serikal inaweza fungua kampun kisha kuuza hisa zake kwa watanzania wafanya biashara wakubwa kisha kuwekeza pesa kwenye uzalishaj wa gas. Yaan i dont see kwann alitamka such words.

The same goes to maneno yote alotamka bungen, kiongoz nzur ni yule anaezungumza machache, kusikilza meng, kisha hutenda meng for the benefit of hs or her country.

Utaifa Nyuma, Njaa binafs Mbele, and still wakiomba kura mnatoa. Aaah.
 
Back
Top Bottom