Rufiji dam
JF-Expert Member
- Feb 20, 2020
- 3,910
- 9,012
Sasa yule nae ni Shekhe, yuko wapi huyu Shekhe CCM mwizi wa wake za watu.Mkwara 🐼
Kuna yule shehe wa mkoa aliwatishaga akina Mwaka na bint Kimambi lakini wanadunda tu 😂😂
Sasa yule nae ni Shekhe, yuko wapi huyu Shekhe CCM mwizi wa wake za watu.Mkwara 🐼
Kuna yule shehe wa mkoa aliwatishaga akina Mwaka na bint Kimambi lakini wanadunda tu 😂😂
QUI QUI QUI QUI 😂😂😂😂Mkuu kama ulijua au kushiriki ,anza Gawa mali taratibu ,kimbunga chaja
""Kwani si baada ya mila, mkungu wa ndizi unaninginizwa juu, basi kila ndizi inavyoanguka........ Ndivyo roho zinavyochomoka!haya mambo yapo boss wangu kama huamini kisasi ktk nguvu za asili yanafanya kazi tena wanapukutika kbs... Sema kwa sasa matapeli ni wengi ila ukimkuta mkali wa hizi kazi mchezo anaucheza na matokeo chanya yanapatikana chapu tu... Sema hawa nao wafanya matukio kama hayo wanakuwa wamejithatiti kiaina kwahiyo nao hawapo kiuwepesi wepesi
No.moja kalala chatoBaada ya serikali kupitia polisi kuamua kufumbia macho kesi ya shambulio la kukusudia kumuua Lissu na majuzi kufunga rasmi mjadala huo kwa kumrudishia kielelezo cha kesi (evidence) ghafla jambo hilo limechukua sura mpya.
Gari hilo lililosheheni matundu ya risasi zilizokusudia kuondoa uhai wa Lissu limekabidhiwa kwa wazee wa kimila nao wamepiga dua zao.
Wajuzi wa mambo ya asili waliofuatilia tukio hilo wanasema wahusika na hata waliojua mpango huo na kunyamaza ni vyema wakajitokeza sasa kabla ya dhahma hazijaanza kuwaangukia ambapo watatamani bora hata wangekuwa polisi ndio wamewakamata.
Wakati ni sasa bora hata wajitokeze kuliko kusubiri yajayo, kwanza Lissu ni mnyenyekevu wakitubu atawasamehe.
Sasa yule mkuu wa mkoa itakuwaje?Kwamba wataamka makalio yamehamia kichwani ama?
Kijana?Matambiko ya jadi sio ushirikina kijana!
Watajua hawajui mwaka huuQUI QUI QUI QUI 😂😂😂😂
KUNA ILE INAITWA NUNGU, IYO HUWA INATAFUNA MDOGO MDOGO!, WATU WANAPUKUTIKA KAMA MAIGIZO VILE, MSWALIE MTUME.
Huwezi elewa wewe maana akili yako umeichimbia chini. Tambiko za asili zipo hata kabla ya dini za wazungu na waarabu ziingie. Na tambiko za asili sio uchawi wala uloziwameamua kujiingiza mazima kwenye masuala ya uchawi na ushirikina, baada ya maombi, ibada na misa nyingi sana za shukrani?🐒
kwamba wameona zawadi ya uhai alizowajalia Mungu hazitoshi, right?🐒
Lipo kisheria au kisera?Hili jambo naona bado halieleweki. Tambiko sio ushirikina hata kidogo maana huwa linafanywa kwa maombi ya Mila zenu na uwazi mtupu.
Mbona maombi mengine yanafanywa makanisani na misikitini? Au hayo ni kwa vile ni ya wazungu?
CCM ni washirikina wazuri snhaya mambo yapo boss wangu kama huamini kisasi ktk nguvu za asili yanafanya kazi tena wanapukutika kbs... Sema kwa sasa matapeli ni wengi ila ukimkuta mkali wa hizi kazi mchezo anaucheza na matokeo chanya yanapatikana chapu tu... Sema hawa nao wafanya matukio kama hayo wanakuwa wamejithatiti kiaina kwahiyo nao hawapo kiuwepesi wepesi
Kwani kuna ubaya kumwita babaako mpuuzi.Mpuuzi wewe! Nani kazungumzia mambo yako ya kulogana?
Kijana?Matambiko ya jadi sio ushirikina kijana!
Yule alitewatuma tayari yuko motoni,nq aliyesimamia lile shambulio sasa hili makalio yake yameumuka kama mwanamama vile.Kwamba wataamka makalio yamehamia kichwani ama?
Na bado, wapo wale waliochomoa CCTV pale nyumbani, walio ondoa walinzi gemini na waliokataa taarifa ya tume ya bunge kuweka hadharani hawaponi maana laana lazima iwaangukie.Yule alitewatuma tayari yuko motoni,nq aliyesimamia lile shambulio sasa hili makalio yake yameumuka kama mwanamama vile.
KondaktaBaada ya serikali kupitia polisi kuamua kufumbia macho kesi ya shambulio la kukusudia kumuua Lissu na majuzi kufunga rasmi mjadala huo kwa kumrudishia kielelezo cha kesi (evidence) ghafla jambo hilo limechukua sura mpya.