Tambiko, kafara la njiapanda

mshana jr sijakusoma vema hapo kwa mitume na manabii wa kileo kutumia njiapanda. Je hawa jamaa wanazitumiaje? Na jr zinahusianaje na Mungu kiasi waumini wao wasitambue wanapigishwa kwata la ushirikina?
 
Sehemu kubwa ya mahubiri yao hawamhubiri Mungu bali pesa vitu na mafanikio.. Ni Mungu pekee ndio yuko kwenye central axis ya ulimwengu vingine vyote vimrgawanyika
Jinisi ya kuwatambua hawa ni matendo yao, angalia kashfa zao ulafi wao ubinafsi na kushindana kwenye utajiri na vitu vya kidunia kama magari ndege yatch nknk
 
MLETA POST # 11,WEKA SAWA HAPO KWENYE BOLDED
"Wakati mwingine wife ananiuliza mbona wanakuvunjia Nazi vibaya mke wangu"????
Nani mke kati yako na wife?
 
MLETA MADA WEKA SAWA HAPO KWENYE BOLDED
"Wakati mwingine wife ananiuliza mbona wanakuvunjia Nazi vibaya mke wangu"????
Nani mke kati yako na wife?
Hii quote ni yangu? Iko sehemu gani? I mean post no ngapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…