Tamasha la "Wasanii wa Mabadiliko"

Tamasha la "Wasanii wa Mabadiliko"

Nilisikiliza juzi kwenye radio moja nikacheka sana baadhi ya mashahiri kwenye wimbo wake.
Kuwa wamealika wasanii kibao na wanaimba nyimbo zilezile lakini maneno tofauti
Eti baada ya kuona nyomi ya kutisha kwenye mkutano wa mgombea akaamua kumuita mzee mmoja pembeni na kumdadisi, ndio akamwambia kuwa kafuata kofia maana jua ni kali sana.
Kwa wanaoogopa mageuzi na wasioogopa, nawakumbusheni tu kuwa magufuri sio mbaya lakini tukifanya kosa kumpa kura maana yake tumewapa ccm na hapo ndipo tutajua kuwa makaosa ya safari hii yatakuwa makubwa zaidi ya makosa yote yaliyotangulia katika historia yetu!
20150907040704.jpg

Msanii Mkoloni akiimba katika Tamasha la Wasanii wa Mabadiliko lililofanyika mwishoni mwa wiki iliyopita mjini Mtwara. Lengo la Tamasha hilo ni kuwahimiza wananchi kujitokeza kupiga kura Oktoba 25, 2015.
 
Kumbe hata mikutano ya chadema kuna wasaniii...sasa kwaninu povu huwa linawatoka hapa kuwa mikutano ya CCM ndio huwa inawasanii peke ake?...m.a.l.ofa nyie
 
20150907040559.jpg

msanii walter chilambo akiimba katika tamasha la wasanii wa mabadiliko lililofanyika mwishoni mwa wiki iliyopita mjini mtwara. Lengo la tamasha hilo ni kuwahimiza wananchi kujitokeza kupiga kura oktoba 25, 2015.
20150907040704.jpg

msanii mkoloni akiimba katika tamasha la wasanii wa mabadiliko lililofanyika mwishoni mwa wiki iliyopita mjini mtwara. Lengo la tamasha hilo ni kuwahimiza wananchi kujitokeza kupiga kura oktoba 25, 2015.



20150907040841.jpg


20150907040755.jpg

wananchi waliojitokeza katuka tamasha la mabadiliko ililofanyika mwishoni mwa wiki iliyopita mjini mtwara. Lengo la tamasha hilo ni kuwahimiza wananchi kujitokeza kupiga kura oktoba 25, 2015.

20150907040922.jpg


20150907040901.jpg

msanii soggy doggy akiimba katika tamasha la wasanii wa mabadiliko lililofanyika mwishoni mwa wiki iliyopita mjini mtwara. Lengo la tamasha hilo ni kuwahimiza wananchi kujitokeza kupiga kura oktoba 25, 2015.

20150907041050.jpg


20150907041254.jpg


20150907040912.jpg

wasanii wa bongo movie wakiwasha moto katika tamasha la wasanii wa mabadiliko lililofanyika mwishoni mwa wiki iliyopita mjini mtwara. Lengo la tamasha hilo ni kuwahimiza wananchi kujitokeza kupiga kura oktoba 25, 2015.

20150907041309.jpg


20150907041134.jpg

mapokezi ya wasanii mara baada ya kufika mtwara kwa ajili ya tamasha la wasanii wa mabadiliko

after school bash........:a s 41::a s 41::a s 41::a s 41:
 
Back
Top Bottom