Gasy wa Ukweli
JF-Expert Member
- Nov 7, 2010
- 397
- 201
VIPI ROMA na yeye alikuwepo?? Kama bado na yeye ajiunge na TIMU.
peperusha BENDERAAAAA
VIVA ROMA
peperusha BENDERAAAAA
VIVA ROMA
Safi sana wasanii wa mabadiliko. Rasimisheni ushirika wenu halafu muwe na number za Mpesa, Tigo na airtel money tuwaunge mkono financially na vibuku, jero msimbazi si unajua sie ni malofa wenzenu
Waambatane na Viva RomaWamakonde wameahidi shughuli zote za kiuchumi kusimama Tar 21/09/2015 kwaajili ya mapokezi ya mgombea urais wa UKAWA. Wamehimiza watu kufanya manunuzi sokoni na madukani siku moja kabla ya tukio hilo.
Soon CCM wataiga
![]()
Msanii Mkoloni akiimba katika Tamasha la Wasanii wa Mabadiliko lililofanyika mwishoni mwa wiki iliyopita mjini Mtwara. Lengo la Tamasha hilo ni kuwahimiza wananchi kujitokeza kupiga kura Oktoba 25, 2015.