Tamasha la "Wasanii wa Mabadiliko"

Tamasha la "Wasanii wa Mabadiliko"

Bukanga

JF-Expert Member
Joined
Dec 13, 2010
Posts
2,857
Reaction score
1,937
20150907040559.jpg

Msanii Walter Chilambo akiimba katika Tamasha la Wasanii wa Mabadiliko lililofanyika mwishoni mwa wiki iliyopita mjini Mtwara. Lengo la tamasha hilo ni kuwahimiza wananchi kujitokeza kupiga kura Oktoba 25, 2015.
20150907040704.jpg

Msanii Mkoloni akiimba katika Tamasha la Wasanii wa Mabadiliko lililofanyika mwishoni mwa wiki iliyopita mjini Mtwara. Lengo la Tamasha hilo ni kuwahimiza wananchi kujitokeza kupiga kura Oktoba 25, 2015.



20150907040841.jpg


20150907040755.jpg

Wananchi waliojitokeza katuka Tamasha la Mabadiliko ililofanyika mwishoni mwa wiki iliyopita mjini Mtwara. Lengo la Tamasha hilo ni kuwahimiza wananchi kujitokeza kupiga kura Oktoba 25, 2015.

20150907040922.jpg


20150907040901.jpg

Msanii Soggy Doggy akiimba katika Tamasha la Wasanii wa Mabadiliko lililofanyika mwishoni mwa wiki iliyopita mjini Mtwara. Lengo la Tamasha hilo ni kuwahimiza wananchi kujitokeza kupiga kura Oktoba 25, 2015.

20150907041050.jpg


20150907041254.jpg


20150907040912.jpg

Wasanii wa Bongo Movie wakiwasha moto katika Tamasha la Wasanii wa Mabadiliko lililofanyika mwishoni mwa wiki iliyopita mjini Mtwara. Lengo la Tamasha hilo ni kuwahimiza wananchi kujitokeza kupiga kura Oktoba 25, 2015.

20150907041309.jpg


20150907041134.jpg

Mapokezi ya wasanii mara baada ya kufika Mtwara kwa ajili ya Tamasha la Wasanii wa Mabadiliko
 
Hawa ni wasanii wanaojitambua. Hongereni sana. Wale wengine kazi zao watanunua wenyewe.
 
Ukawa bana mpaka rahaaa, sio ccm wanachanganya Fiesta na wagombea humo humo
 
ukisikia kio cha jamii ni kufanya mambo kama haya yenye manufaa kwa taifa heshima kwenu wasanii mnaojitambua
 
  • Thanks
Reactions: RCA
Ukawa nimeipenda sana mwaka huu,kwanza tulianza kuzunguka nchi nzima kuhamasisha kujiandikisha na sasa ni kupiga kura...ccm hawana pa kutokea maana zao oooh wanaoshabikia upinzani hawajajiandikisha,mara ooh hawajapiga kura!!!
 
veeery strategically!!!!! Kweli mabadilikooo ni lazima mwaka huu. Big up wasaniii wa wanyonge,
mungu awainue ili mkatoe elimu sahihi ya upigaji kura kwa watanzania wote!!!!
 
  • Thanks
Reactions: RCA
veeery strategically!!!!! Kweli mabadilikooo ni lazima mwaka huu. Big up wasaniii wa wanyonge,
mungu awainue ili mkatoe elimu sahihi ya upigaji kura kwa watanzania wote!!!!

Hawa wasanii wa mabadiliko wamenikosha sana. Kama kule Tanga wamejikusanya na kwenda kufanya usafi Hospital ya Mkoa na soko kuu.
ImageUploadedByJamiiForums1441959006.512636.jpg
ImageUploadedByJamiiForums1441959033.279139.jpg
Wakati wenzao wanazunguka na magufuli kukata mauno na wengine kuwa viburudisho katika misafara hiyo ukifika bei tuu
 
Nzuri hii hakuna mtu anaeza bisha kuwa wasanii walioko upande huu ndio wenye kujielewa zaidi. Big up sana.
VIVA UKAWA!!!
 
Safi sana wasanii wa mabadiliko. Rasimisheni ushirika wenu halafu muwe na number za Mpesa, Tigo na airtel money tuwaunge mkono financially na vibuku, jero msimbazi si unajua sie ni malofa wenzenu

hahaha hii nzuri itabidi wafanye hivyo
 
Jamani hivi mnataka magufuli afe kwa presha mbona hamna huruma ninyi?
Ninyi mnadhani haya mastrategy yenu ya kustukiza lumumba kuna lalika?

Ewe mheshimiwa LOWASA Binafsi ninaomba uwahurumie ccm jamani kha!

Enyi ccm nadhani mbadili mbinu maana ya kuchna mabango na ya KUHUBIRI LIBYA inaonyesha watu hawajawaelewa kabisa .
Nashauri muache kama mlivyo acha kuuliza watu" Rais wenu nani" na wakawa wana wajibu LOWASAAAA. Tafuteni mbinu nyingine haya maukawa yana nguvu sana jamani yani yanapendwa kwenye nyoyo na akili za watanzania na hayaonyeshi kumwacha LOWASA na Yamedhamiria Kwa dhati kujitikeza kumpigia kura LOWASA dah!
 
Wamakonde wameahidi shughuli zote za kiuchumi kusimama Tar 21/09/2015 kwaajili ya mapokezi ya mgombea urais wa UKAWA. Wamehimiza watu kufanya manunuzi sokoni na madukani siku moja kabla ya tukio hilo.
 
Very good strategy...wao wanatembea na wasanii. Ukawa wasanii wanapita baadaye
 
Back
Top Bottom