Tamasha la urithi jijini Dodoma

Tamasha la urithi jijini Dodoma

Walimuonjesha joto LA jiwe sema hirizi yake ilikuwa bado haijaisha muda wake. Sasa kaanza matambiko kwa kula nyma za anao walinda
 
Hongera waandaaji na maafisi protocol msafara M.Rais .Hakuna hapa ule ushamba wa kichama CCM,toka mavazi na kauli viongozi.
Nashauri maafisa msafara wa Mh.Rais wajifunze kitu kwa matukio ya kitaifa na umoja wa taifa.Mungu mmbariki Mama Samia ,Mungu ibariki Tanzania.
 
Tamasha la urithi afu watu wamevaa suti, ni upotevu wa hela tu.
 
Yule mzee wa pembe za ndovu mzee wetu sana wa meli ni yangu ila pembe za ndovu si zangu nae atakuwepo? Maana ccm kwa uhujumu uchumi hamjambo
 
Clouds kila tamasha lao mala miss tz mala hv , yan e fm watawatoa roho hawajamaa kha
 
Rais wetu ametuonyesha njia ktk kuenzi na kuthamini lugha ya Kiswahili lkn bado watendaji wachache wameathiriwa na ukoloni. Tubadilike .
 
Nasikia leo limefanyika. Nimesikia pia litakuwa linafanyika kimkoa kila september.
Nini kimefanyika huko? wandaaji na wasimamizi ni nani? mgeni rasmi kasema nini? .

pia naipongezaserikali kwa kuanzisha hili tamasha.
 
Mgeni rasmi amesema Serikali imefufua shirika la ndege, pia imenunua ndege kwa kulipa Cash.
 
Back
Top Bottom