Ojuolegbha
JF-Expert Member
- Sep 6, 2020
- 1,773
- 1,174
Tamasha la pili la Utamaduni Kitaifa limeanza leo Agosti 25, 2023 katika viwanja vya Stendi ya zamani mkoani Njombe likipambwa na burudani kutoka vikundi mbalimbali vya ngoma kutoka Mikoa mbalimbali Tanzania Bara na Zanzibar.
Kauli Mbiu ya Tamasha ni "Utamaduni ni Msingi wa Maadili, tuulinde na Kuendeleza.
Kauli Mbiu ya Tamasha ni "Utamaduni ni Msingi wa Maadili, tuulinde na Kuendeleza.