tamasha la dance miamia linatuletea makundi ya wezi msasani

vanmedy

JF-Expert Member
Oct 12, 2011
2,698
1,395
HILI SUALA LA MAKUNDI YENYE MFANANO WA PANYA ROAD YAPO KWELI DSM...
ni muda huu majira ya saa 11 ya jioni nimeshuhudia kundi la vijana zaidi ya ishirini limepita mtaani kwetu msasani-namanga limevamia na kupiga na kuibia watu .. MTAANI KWEUPE..
kumekuwa na makundi ya vijana wanaogawana mitaa na kumvamia,kumpiga na kumpora mtu yeyote wanayekutana nae njiani...
KUNA HILI SHINDANO LAO LISILO NA TIJA "DANCE MIAMIA" LIMEFANYIKA HUKU MSASANI- VIWANJA VYA DONBOSCO sasa wakati wanarudi ndio wanafanya huu uharibifu wao.. na kwa taarifa hii napata habari ni mara ya pili kwa matukio haya kutokea (mara ya mwisho ni kipindi cha mashindano kilichopita).
NB: NYINYI WAANDAAJI NI JAMBO ZURI KUANDAA MATAMASHA YENYE KUWAUNGANISHA VIJANA .. ILA SINA HAKIKA HILI SHINDANO LENU LINA TIJA GANI KIMAADILI NA KIUCHUMI KWA VIJANA WA KITANZANIA.. mimi najionea watoto wanauga mivao ya ajabuajabu na mitindo ya nywele ya kifedhuli kwa kuwaangalia hao washiriki wenu). HEBU SHINDANISHENI VIJANA KWENYE UZALISHAJI MALI ILI MUWAFANYE WAWE NA FIKRA CHANYA ..
 
Back
Top Bottom