"tamaa mbaya" | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

"tamaa mbaya"

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by Emaglo, Jan 15, 2012.

 1. E

  Emaglo Senior Member

  #1
  Jan 15, 2012
  Joined: Jan 6, 2012
  Messages: 101
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kulikuwa na nchi moja kulikuwa na njaa akatokea tajiri mmoja mwenye shamba kubwa akaenda kutafuta watu wakumsaidia kuvuna kwenye shamba lake ili awalipe kusikia hivyo wanaume wengi walijitokeza kwenda kufanya kazi kwa ajili yao na familia. Siku ilipofika yule tajiri akawachukua na kuwapeleka shambani na wakapatana kwamba m2 atalipwa kutokana na idadi ya magunia atakayo vuna na kupeleka stoo basi shughuli ikaanza wakapeleka raund ya 1 2 3...jamaa mmoja mvivu kwa tamaa ya kupeleka mizigo mingi stoo akaamua akusanye mabua na kujaza kwenye maguni haraka na kupeleka stoo akapeleka 5 na 6 walipofika trip ya 7 yule tajiri akawambia raund hiyo wasipeleke stoo na hiyo mizigo waliyobeba ndo itakuwa malipo yao kwa maana hela waliyopatana ilikuwa ndogo
   
 2. SHIEKA

  SHIEKA JF-Expert Member

  #2
  Jan 15, 2012
  Joined: Dec 20, 2011
  Messages: 8,131
  Likes Received: 943
  Trophy Points: 280
  Kama vile stori imeishia hewani. Sijaipata vizuri
   
 3. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #3
  Jan 15, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,471
  Likes Received: 19,861
  Trophy Points: 280
  hahaa huyu jamaa kenge kweli ..kwa hiyo akaenda home na mabua
   
 4. Jeji

  Jeji JF-Expert Member

  #4
  Jan 15, 2012
  Joined: Jun 28, 2011
  Messages: 1,981
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  nimecheka sana. jamaa akome uvivu.
   
 5. T

  TUMY JF-Expert Member

  #5
  Jan 15, 2012
  Joined: Apr 22, 2009
  Messages: 706
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ha ah ah aha ha a ha ha ha aah ah ah ah ahh , Uvivu ni Noumer,:lol::lol::lol:
   
 6. WAHEED SUDAY

  WAHEED SUDAY JF-Expert Member

  #6
  Jan 16, 2012
  Joined: Jun 24, 2011
  Messages: 7,156
  Likes Received: 1,249
  Trophy Points: 280
  Lakini huu ujira wake unamfaa kwa sababu kuanzia mwanzo alikuwa anabeba mabua
   
 7. Erickb52

  Erickb52 JF-Expert Member

  #7
  Jan 16, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 18,566
  Likes Received: 112
  Trophy Points: 160
  Hahahahahaaaa jamaa imekula kwake mazima chali yangu
  dah awapekee ng'ombe wake tu
   
 8. chapaa

  chapaa JF-Expert Member

  #8
  Jan 16, 2012
  Joined: Feb 19, 2008
  Messages: 2,355
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  imekula kwake
   
Loading...