Tamaa Itanimaliza Jamani


Sikushauri,niliolewa na 22..mbali na kusimama masomo kuna changamoto nyingi sana ndani ya ndoa halafu akili yenyewe inakuwa bado ina utoto fulani..kama huna uvumilivu na hekima ya kiMungu,haki ya mama unaweza ukaimbia hyo ndoa ndani ya miezi 3 na mimba juu
 
^^
Maandalizi ya kutafuta mwenza wa kuhifadhi mitaani baada ya kuvurunda ipasavyo miaka mitatu chuoni
^^
 

Mungu mkubwa. Nimekua nikikuota muda mrefu, ndo hivyo nipm basi!
 

hahahahahaha,wanakimbilia wanafikiri asali?thts why am SINGLE
 
usiwe na shida...........inbox ipo hope kilio chako wameshakituliza vijana wa humu quitely............gently.............smoothly..........
 
usidanganyike kila jambo nawakati wake,ndo wakati wake kama kwel uko peke yako kwa muda wote huo,hata mm nimemaliza mwaka jana na kaz nimepata,ila nafil kama wewe,suala la kumaliz xkul halipingiki, utamaliza tu,na suala la nyumba au gar,si lazima lianze ndo kiu yako ije....mtafute tu,hata ss tuna kiu na bado tunasaka,ila si wa ovyo tuu!
 
Soma bibie soma... au unataka yakutokee yale ya
"Sifa ya Moyo Tamaa, Moyo Sifa yake kutamani
Tamaa ya moyo, yaweza kukweka matatizoni
Unatamani kuzaa, wakati bado upo shuleni...

Well said price, atumie akili kukataza kabla hajaingia matatizoni!
 
Shida yako dushelele sio..njoo kwangu utalichezea usiku kucha.
 
Umesahau kuongezea kuwa unatamani sana kuwa na mtoto na nyumba nzuri na gari zuri....hahahah wasichana bana.

Hehehehe mume awe na pesa
Aninunulie gari zuri tena x6 au v8 (sio niwe na gari tu ninunuliwe gari zuri) he he he umeua sana kaka
 
ndo unipe mchanganuo atakua ameanza std 1 na umri gani, hmna mtoto anayesailiwa darasa la kwanza na miaka 4 tusidangajane
 


utafiti unatafutwa huku!
 
Last edited by a moderator:
siku hizi kweli umekua, huu ushauri umetulia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…