Steven Robert Masatu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2009
- 2,458
- 1,826
Wewe ni wa kike au wa kiume?
Atafutae hupata na aombae hupewa sio ujinga dada ni hali ya mabadiliko ya tabia nchi cha kufanya kwa huo umri wako na mambo unayoyawaza ni safi kabisa je huyo BF wako anaumri gani? hebu ni PM nikupe darasa zuri la kushinda vishawishiNina umri mdogo (21) namaliza degree mwaka huu.
Nina maono ya maendeleo lakini natamani sana kuolewa, times za usiku natamani ningekua na mwanaume wangu nimpe mzigo tena natamani kuzalishwa hata mwaka huu.
Hivi ninavyotamani ni kawaida au ni ujinga ninao?
Nina umri mdogo (21) namaliza degree mwaka huu.

Mimi huwa naelewa haraka...Ngoja niingie chumba cha siri yani PM.!Nina umri mdogo (21) namaliza degree mwaka huu.
Nina maono ya maendeleo lakini natamani sana kuolewa, times za usiku natamani ningekua na mwanaume wangu nimpe mzigo tena natamani kuzalishwa hata mwaka huu.
Hivi ninavyotamani ni kawaida au ni ujinga ninao?
Nina umri mdogo (21) namaliza degree mwaka huu.
Nina maono ya maendeleo lakini natamani sana kuolewa, times za usiku natamani ningekua na mwanaume wangu nimpe mzigo tena natamani kuzalishwa hata mwaka huu.
Hivi ninavyotamani ni kawaida au ni ujinga ninao?
Mimi mambo yako ya kubadilisha badilisha ID siyapendi kwa kweli yaani unakuwa kama kinyonga hivindugu yangu hujui kuwa hiyo tabia ya kutamani si njema kabisa?
Hivi hujui kuwa kuna magonjwa hasa ili la ukimwi?
hivi ujui kuwa wewe ni mwaname rijali ambaye unahitaji kujiheshimu?
na kuwa staha, mwanamke uliyependelewa na Mungu kwa uzuri jamani?
kwanini unakuwa na tabia mbaya hiyo ya kuruhusu mwili ukutawale na
sio wewe uutawale mwili huo tabia mbaya za kupenda ngonozembe?
Kwanini unajirahisisha hata huku mitandaoni ili upate game jipya la
kukuharibia maisha yako na masomo yako uje ujute baadaye mdogo wangu?
Kwaninii unataka kutenda dhambi ambayo ni mbaya kujitoa mwili wako
uwe dhabihu ya dhambi mdogo wangu nakushauri BADILI TABIA na kuwa
na mtazamo mwingine wa kumwishia na kumhofu Mungu achana na dhambi
Nina umri mdogo (21) namaliza degree mwaka huu.
Nina maono ya maendeleo lakini natamani sana kuolewa, times za usiku natamani ningekua na mwanaume wangu nimpe mzigo tena natamani kuzalishwa hata mwaka huu.
Hivi ninavyotamani ni kawaida au ni ujinga ninao?
Mimi mambo yako ya kubadilisha badilisha ID siyapendi kwa kweli yaani unakuwa kama kinyonga hivi
Sipati picha sasa hivi mabazazi wanavyochangamkia fursa huko pm
cc: Nicas Mtei , mwekundu , Eiyer Excel . Na mabazazi wengine wote