Tamaa Itanimaliza Jamani

Tamaa Itanimaliza Jamani

percypat

Member
Joined
Jan 17, 2014
Posts
44
Reaction score
30
Nina umri mdogo (21) namaliza degree mwaka huu.

Nina maono ya maendeleo lakini natamani sana kuolewa, times za usiku natamani ningekua na mwanaume wangu nimpe mzigo tena natamani kuzalishwa hata mwaka huu.

Hivi ninavyotamani ni kawaida au ni ujinga ninao?
 
Ni ujinga ulionao!Umri wako bado mdogo sana,kuwa na tamaa ya kugegedwa ni kawaida kwa umri wako lakini unatakiwa kuzishinda tamaa,utambue kuwa unatakiwa kuzingatia masomo kwanza sababu kuolewa kupo tu muda wowote unaweza kuolewa,tena utakapokuwa na elimu wanaume watakuja wa kila aina kazi itakuwa kwako ya kufanya uchaguzi!

Soma kwanza,acha ujinga
 
Wewe huna vigezo vya huyo wa kukuoa/kukuzalisha!

Sent from my iPhone using JamiiForums app
 
Wew binti lazima unapepo la ngono sio bure
 
hujawaona wenye miguu mitatu hapo chuoni?

unahisi hutaolewa?

au kwa sababu wasichana wa rika lako baada ya kushindwa kuendelea na shule wana watoto/wameolewa?

maliza vema, tafuta ajira mambo mengine yatakuja

kumbuka: ktk kila jambo mtangulize Mungu
 
Nna umri mdogo (21) namalza degree mwaka huu..nina maono ya maendeleo lakn nataman sn kuolewa..tymz za ucku natamani ningekua na mwanaume wangu nimpe mzigo tn nataman kuzalishwa hta mwaka huu. Hv ninavyotaman ni kawaida au ni ujinga ninao?

kwani huna mtu wa kumpa mzigo???
 
umri unakuruhusu kuendelea na shule,pia kutafuta kaz kwa uhuru,utaolewa 2 bibie.
 
Soma bibie soma... au unataka yakutokee yale ya
"Sifa ya Moyo Tamaa, Moyo Sifa yake kutamani
Tamaa ya moyo, yaweza kukweka matatizoni
Unatamani kuzaa, wakati bado upo shuleni...
nashukuru
 
Ni ujinga ulionao!Umri wako bado mdogo sana,kuwa na tamaa ya kugegedwa ni kawaida kwa umri wako lakini unatakiwa kuzishinda tamaa,utambue kuwa unatakiwa kuzingatia masomo kwanza sababu kuolewa kupo tu muda wowote unaweza kuolewa,tena utakapokuwa na elimu wanaume watakuja wa kila aina kazi itakuwa kwako ya kufanya uchaguzi!

Soma kwanza,acha ujinga
nmekuskia
 
Mtafute wa kukugegeda lakini kuwa mwangalifu
 
Nna umri mdogo (21) namalza degree mwaka huu..nina maono ya maendeleo lakn nataman sn kuolewa..tymz za ucku natamani ningekua na mwanaume wangu nimpe mzigo tn nataman kuzalishwa hta mwaka huu. Hv ninavyotaman ni kawaida au ni ujinga ninao?

hahahahahahahaha BIG RESULTS NOW! unahamu ya kuzamishiwa. atakaye kuoa na yeye saiv atakuwa na hamu ya kuzamisha so mtafute kwenye google!
 
hujawaona wenye miguu mitatu hapo chuoni?

unahisi hutaolewa?

au kwa sababu wasichana wa rika lako baada ya kushindwa kuendelea na shule wana watoto/wameolewa?

maliza vema, tafuta ajira mambo mengine yatakuja

kumbuka: ktk kila jambo mtangulize Mungu
ukwel..wameolewa wote
 
Back
Top Bottom