Wakuu tuangalie na nje ya box. Ikulu za wakuu wa kaya wengi duniani zimezungukwa na magorofa marefu Yakiwamo ya watu binafsi:mfano white house ya marekani,makao Makuu ya umoja wa mataifa ambapo wakuu wa nchi zote 193 duniani hukutana Kila mwaka na bado sio tatizo kwani ikulu yetu iko Kama vile vyoo vyetu vya uswahilini kwamba mtu akiwa kwenye gorofa anapata kuona Live?kuna watu wanalipwa pesa nyingi sana na serikali yetu kwa kazi hizo za security threats and analysis.It's now time to come up with new ideas or improve their previous plans,hiyo ni changamoto waifanyie kazi.Ikulu isiwe kikwazo cha kuendeleza mji na watu wa usalama waje na mipango mipya.Kama ujenzi umefuta taratibu zote sioni kwanini iwe issue.