Urusi na Pakistan ndio wanaipa jeuri talban
Sent using my iPhone using jamiiforum app
Matajili, kitajili?????!!!!!!Ni vigumu kutambua ..ila inasemekana kuna matajili wanawafadhili kutoka ina za kitajili kama Qatar,Saudi Arabia .na nyingnezo ambao huwa na amini wanapigana vita ya jihadi..
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa Pakstan Sawa ..Urusi hamna Evedence ..Paskstan wa interest ya kidini ..kwa Urusi Sidhani
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwanzo usa ndio alikuwa anawasapoti talban unajua hilo?Kwa Pakstan Sawa ..Urusi hamna Evedence ..Paskstan wa interest ya kidini ..kwa Urusi Sidhani
Sent using Jamii Forums mobile app
Yap umeongea ukweli lakini unaweza kuta ichi kama ichi haisapoti hawa watu ila unajikuta kuna watu binafsi ndan ya ichi wanasaport MagaidiMwanzo usa ndio alikuwa anawasapoti talban unajua hilo?
Kwanini usa aliwasapoti talban kupigana na Soviet?
Pakistan peke yake hana ubavu wa kutoa sapoti kwa talban urusi baada ya kugundua ugumu wa kupigana na usa kwa kupitia talban wakaamua kukacha mtanange hip then wakaanza kuwasapoti talban ili kuvunja ushawishi wa usa pande hizo
Sent using my iPhone using jamiiforum app
So kashfa br..kwni haujawahi cheki pic za watalebani..full nusu kanzu chini sendozAcha kashifa bas mkuu wavaa sendoz ndo akina nani? Kwanini mnapenda sana kuzalau wenzenu
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa naanza kupata pichaMwanzo usa ndio alikuwa anawasapoti talban unajua hilo?
Kwanini usa aliwasapoti talban kupigana na Soviet?
Pakistan peke yake hana ubavu wa kutoa sapoti kwa talban urusi baada ya kugundua ugumu wa kupigana na usa kwa kupitia talban wakaamua kukacha mtanange hip then wakaanza kuwasapoti talban ili kuvunja ushawishi wa usa pande hizo
Sent using my iPhone using jamiiforum app
Marekani anapambana na shirika la kijasusi la ISI la Pakistan na ndiyo linafadhili kundi hilo ls Taliban. Hao jamaa ni hatari mno, hawezi kushinda vita hiyoKwa mda mrefu nilikwa nikifuatilia taarifa kuhusu marekani na Taliban katika Afghanistan, licha ya Marekani kuwa Advanced Militarily.
Ni miaka zaidi ya 16 hawajawahi kukontrol baadhi ya maeneo katika Afghanistan ambayo yako chini ya Taliban, maswali yangu kwa wana JF(bila Shaka majibu yatakwa thabiti)
1_Wanapata wapi silaha..
2.Ni Nini wanachokitaka katika Afghanistan?
3.Talibani wako katika dhehebu gani la uislam.
4.Viongozi wao Ni akina Nani..
5.Ni yapi maslahi ya Marekani katika Afghanistan.
Juzi Kati Marekani na Taliban walikwa na negotiations. Je Marekani anawaza nini kufanya mazungmzo na magaidi.
6.je amewashindwa wavaa sendo? Ama vipi..
Nawasilisha..
Wenu rafiki Sela Soni
Ahsanteni.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wanna Nini Hawa br,,Cha zaidi vitaniTaliban ni mziki mwengine kabisa. Katika vitu ambavyo U.S wanaendelea kujuta kujichangaya nao ni hao majamaa.
Powa..but nackia say hzi wamedhoofika saHawa jamaa ni born fighters mkuu. yani ni watu mwitu kabisa. Sio binaadamu wa kawaida kabisa.