Meneja wa Diamond kamtaja mkuu wa mkoa Makonda kuwa anajua mahali walipo akina Roma na wenzake. Na anaweza kusaidia kupatikana kwao. Nimejiuliza kitu kidogo sana hivi Ruge au mimi ndie ningesema, kumtaja Makonda je tungekuwa salama??? Bila kukamatwa kuisaidia polisi.
Tunapoelekea siko salama Rais Magufuli alichaguliwa na Baadhi ya watanzania sio wote ila kwa vile ameshakuwa rais inabidi aondoe chuki kwa raia wake ambao anadhani hawakumchagua. Ivyo inabidi atumie busara katika vyombo vyake vya usalama inapotokea kifo au kupotea kwa raia wake inabidi asimame na aseme na awe na uchungu wa raia bila kujali dini wala rangi ingawa yeye anaongea maneno ya kuwagawa raia wake (Wapinzani) anajisahau wakati mwingine kuwa yeye ni rais wa wote, akifikiri kuwa yeye ni rais wa CCM. Aangalie baadhi ya mataifa za ulaya akipotea au kufa raia moja tu nchi inasimama na mpaka rais au mawaziri wakuu uhairisha safari zao. KIKUBWA NA KIBAYA ZAIDI KATIKA TANZANIA NI KUWA BADO RAIS NA BARAZA LAKE NA WATANZANIA KWA UJULMA HAWAJAJUA NINI THAMANI YA BINADAMU
Inabidi Magufuli hampuzishe Makonda kwasababu kwasasa raia amwamini tena Makonda likitokea lolote baya kwa sasa ni Makonda ndivyo raia wanavyojua.
Atajilinda na anayojeshi kubwa nyuma yake. Magufuli anamjengea Makonda maadui na maisha ya hatari, na makonda anayafuraia lkn akumbuke kuwa Magufuli hatakuwa rais milele. Ukiangalia haya matukio yanayotokea, ambaye anasemwa kuwa anajua wanaotekwa wako wapi hivi unafikiri wanamjenga. Nae anajitokeza kuwa mimi ndio mkuu wa usalama inamaana kwa sasa Makonda ni mkubwa kuliko hata waziri wa mambo ya ndani. Yani kuhusu maisha ya watu wa Dar es Salaam yako juu ya Makonda na Siro.
Yana mwisho na tunapoelekea ni kubaya. Wakumbuke kuna kesho