Beesmom
JF-Expert Member
- Oct 4, 2022
- 37,436
- 92,245
Mkipendana mnavumiliana...ila mmoja asipompenda mwingine lazima aliyependa aonje Jehanamu ndogo na ndiyo hapo maamuzi ya kukimbia hufanyikaZinazodumu ni asilimia 0:9 lakini asilimia kubwa nyingi ni shida