jembe afrika
JF-Expert Member
- Jan 15, 2014
- 7,602
- 3,783
- Thread starter
-
- #21
kweli mkuuHilo ndilo tatizo la kukimbilia talaka. Mnaposhindwanahatua ya kianzia kuchukua ni kutengana. Hii ina maana hamuendi mahakamani kutafuta talaka bali mume kutoa kibali cha mandishi cha kumruhusu mke arudi na kuishi kwa wazazi hadi mgogoro wao utakapotatuliwa. Hili laweza kufanyika hata kwenye ofisi ya mwenyekiti wa mtaa tu. Hatua hii inawapa fursa ya kuchanganua natatizo yenu na ikibidi kukubaliana kurudiana.
Wakuu nafikiri mko poa kabisa,kuna kitu huwa najiuliza mpaka nimeamua kulileta kwenu.
Kuna rafiki yangu wa siku nyingi sana ana mke na amedumu nae kwenye ndoa zaid ya miaka kumi.
Wamekua na migogoro ya hapa na pale isiyoisha ikafikia mwisho jamaa katoa talaka.
Baada ya miezi minne jamaa kamkuta mke mtalaka wake kakumbatiwa na kidume kingine akaanzisha fujo
Na kumjeruhi huyo jamaa,sheria ikachukua mkondo wake jamaa kafungwa miaka kumi.
Swali langu wivu unatoka wapi wakati mmeachana kwa hiari yenu?
jembe imara.hizo habari nimezikuta kwenye familia yake
Kumjeruhi huyo mtu akafungwa Miaka 10!!!!!!!!!
Chezea mahakama za bongo mama
Mafisadi wanafungwa miaka 3, na wengine wanatoka kwa msahama wa rais
yaaani umeniwahi hii chumvi imezidi kwenye kitoweo
Watu wanajiuliza miaka kumi sasa sijui wanacho kishangaa nikipi hapo.
We ukisikia tu kujeruhi unadhani ni kajeraha kadogo hamjiulizi ka jeruhiwa kiasi gani?
Halafu pia mmesahau mtemi pesa yuko juu ya sheria huwezi kuhisi kitu kama hicho?
watu wamenyeshewa miaka mi5 kwa wizi wakuku tu we unashangaa wa kujeruhi kunyeshewa miaka kumu?
kwani hii hadithi inatufundisha nini?
Hii thread inanikumbusha wimbo wa DDC Mlimani Park, muimbaji alikuwa Fresh Jumbe kama sikosei.
Maneno ya wimbo yanaenda hivi.
"Utaona wanaume wengine eeh, huwapa talaka wake zao, bado wanawapendaaa x2
Mke akisharudi nyumbani kwao, bwana anakwenda, kumbembelezaa x2"
Halafu wanadakia kibwagizo kina Gurumo
"...ana wivu kupinduikiaaaa, nimejitahidi nimechokaaa..."
hahahaaaaa chumvi imezidi kwa kweli
ha ha haaaaaaa
ipi hiyo???sheria ya nchi mkuu