jembe afrika
JF-Expert Member
- Jan 15, 2014
- 7,602
- 3,783
Kumjeruhi huyo mtu akafungwa Miaka 10!!!!!!!!!
kwa sheria gani mkuu??
Kumjeruhi huyo mtu akafungwa Miaka 10!!!!!!!!!
Yaani watu mnaotengeneza hadithi huwa mnakera sana, hadithi yako ingekuwa na maana kama usingeanza kujifanya mjuaji wa sheria.
sheria ya nchi mkuu
kwann mkuu?
CHEZEA jembe afrika WWHii ndio Sheria ya Nchi kwa Makosa ya Jinai yanayohusu kujeruhi:
Sheria . Na. 5 ya 1961 kif;8 (228)
Mtu yeyote ambaye
(a) isivyo halali anamjeruhi mwingine ; au
(b) isivyo halali, na kwa kusudi la kumjeruhi au kumuudhi mtu yeyote, anasababisha sumu yeyote au kitu kingine chenye kudhuru kupewe mtu mwingine au kuliwa na mtu mwingine atakuwa anatenda kosa na atahukumiwa kifungo cha miaka mitatu.
Hii ndio Sheria ya Nchi kwa Makosa ya Jinai yanayohusu kujeruhi:
Sheria . Na. 5 ya 1961 kif;8 (228)
Mtu yeyote ambaye
(a) isivyo halali anamjeruhi mwingine ; au
(b) isivyo halali, na kwa kusudi la kumjeruhi au kumuudhi mtu yeyote, anasababisha sumu yeyote au kitu kingine chenye kudhuru kupewe mtu mwingine au kuliwa na mtu mwingine atakuwa anatenda kosa na atahukumiwa kifungo cha miaka mitatu.
CHEZEA jembe afrika WW