TALAKA 3 kwa Mamndenyi.

nini kinaendelea hapa?
Kunani ex wangu?

kabla x wako hajaja hapa, naomba uone jinsi mambo nilokuwa nafanyiwa na x wangu. Wanasema ukitaka kujua alokuwa anatembea na mkeo mwache mkeo. Sasa hapo si umeona bepari?
 
kabla x wako hajaja hapa, naomba uone jinsi mambo nilokuwa nafanyiwa na x wangu. Wanasema ukitaka kujua alokuwa anatembea na mkeo mwache mkeo. Sasa hapo si umeona bepari?

hebu ngoja na mimi nitafute wa kujiweka kwake, nampendaga huyu mdada BADILI TABIA lakini nasikia ana mwenyewe, sijui ni yule ki-@asprini:eek2:

hommie Arushaone unanishaurije :flypig:?
 
Kumbe Mamndenyi ana "soko zuri"................au hawa watoto ni viserengeti bruarizi?
 
Last edited by a moderator:
mathematics
kijiko cha jikoni hakiogopi moto. Ingia bila woga bhana! Uniige kwa mazuri tu tafadhali. Man is always man, so you don't have to fight to be a man. Go for her!!!!!!!!!!!!!!!!!! You need my support, I am always available for you mathematics.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…