TALAKA 3 kwa Mamndenyi.

Mimi ndio naamka na kipenzi changu Mamndenyi, sasa natangaza rasmi nami kujimilikisha mzigo. figganigga na wengine mnaomkodolea macho kaeni mbali nitawafanya kitu mbaya...

dah hongera ukisifiwa kukimbia mshukuru aliyekukimbiza usisite kumshukuru Arushaone bila yeye kutoa divorce usingevuta chombo
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
UNA UHAKIKA Katavi? Maana hata mzee wa mia nilimfumania! Kwa hiyo kila m2 kwa zamu yake! ME NIMEONDOA MLOLONGO.
Kama ulimfumania mzee wa mia ilikuwa zamani, hivi sasa kwangu katulia....lol.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…