Vp nikitaka mkopo leo Tala, kwa waliojaribu kukopa maana akina sis familia haziend bila kukopawalikuwa wana tumia .com sio .tz kwa kusaidia na google
ndo maana google inakula hasara kwa waleta maendeleo
Ukipewa nishtue na mim, kizur kula na nduguyo kasoro sumu tu.Ngoja na Mimi niwakope aisee,haiwezekani hii bahati inipite hivi
Bila vtisho halipi mtu wew, hap kaz tuMdaiwa hafungwi,
Kwa jinsi nilivyoelewa hapa Wanachokosea hawa TALA ni kuleta vitisho naona. Wangekua wanapiga simu labda wanakuuliza kistaarabu umekwama wapi, na una mpango upi wa kurudisha ingewasaidia zaidi kukusanya madeni. Lakini vitisho vyao vimekua kero
TALAKA, Kifup chake TALAjamani TALA ndiyo nini mimi siijui msinicheke
Usijali ndugu yangu nitakushirikisha....Ukipewa nishtue na mim, kizur kula na nduguyo kasoro sumu tu.
Nokia Obama
TALA ndio nini hasa? na wanashughulika na nini hasa?Niliona katika habari ya Ch10 jioni hii, wamepewa makosa matano.
TRA wamewashtaki kwa kuingiza vifaa vya mawasiliano bila kibali, kuwa na server ambayo inatumika bila kibali, kutumia mitambo ya mawasiliano bila kibali, kuitia hasara serikali ya shirikisho 60,260,000, na kosa la mwisho ni UHUJUMU UCHUMI.
Viongozi wake wawili wamepelekwa mahabusu kwa kuwa mahakama haina uwezo wa wa kusikiliza kesi ya UHUJUMU uchumi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaha , roho mbaya haijengiinatakiwa mnishukuru na kunipa pongezi mimi hapa ndo nimewachongea kwenye taasisi maana walikua wananisumbua sana
Kuna mtu alitumiwa RB ya police kwa sms na TALA ...Kwa hiyo ule mkopo niliokopa na kutishiwa kupelekwa mahakamani kila leo ndio basi tena,
Kweli kifo cha kunguru furaha kwa panzi
CC Zero IQ
Hahahahhaaaaaa watawajua wabongo.Ahahaa Ila tala wamekopesha jamani.mi mara ya tano nilivokopa 40 ndo sijaonekana huko tena
Sent using Jamii Forums mobile app
hawa jamaa ndo wana roho mbaya vitisho vingi mm niliwaambia nitawasema hawalipi kodi eti wakanichekea nikakata simu.
una bahati maana hawakupi Mkopo mpaka umeweka Kitambulisho chako cha mpiga Kura na uwe Facebook wakuone
Ukipewa nishtue na mim, kizur kula na nduguyo kasoro sumu tu Nokia Obama
mimi juzi tu 25/March/ wamenipa ingawa nilichelewesha rejesho kwani nililipa nusu mara mbiliUsijali ndugu yangu nitakushirikisha....
Kama tala.
Ahahaa Facebook tenauna bahati maana hawakupi Mkopo mpaka umeweka Kitambulisho chako cha mpiga Kura na uwe Facebook wakuone
mimi juzi tu 25/March/ wamenipa ingawa nilichelewesha rejesho kwani nililipa nusu mara mbili
Duh wakaniambia niwe naingia Facebook wanione,
sema tatizo Riba ni kubwa yaani unacheza na hela yao tu na huvuki laki 3
Mtanishtua ndani ya mwezi huu nicheleweshecheleshe huenda TRA wamewabana km 3 MZUKA