TALA wala rungu la TRA

TALA wala rungu la TRA

poppah

JF-Expert Member
Joined
Dec 19, 2014
Posts
630
Reaction score
548
Niliona katika habari ya Channel10 jioni hii, wamepewa makosa matano.

TRA wamewashtaki kwa kuingiza vifaa vya mawasiliano bila kibali, kuwa na server ambayo inatumika bila kibali, kutumia mitambo ya mawasiliano bila kibali, kuitia hasara serikali ya shirikisho 60,260,000, na kosa la mwisho ni uhujumu uchumi.

Viongozi wake wawili wamepelekwa mahabusu kwa kuwa mahakama haina uwezo wa wa kusikiliza kesi ya uhujumu uchumi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Niliona katika habari ya Ch10 jioni hii, wamepewa makosa matano.

TRA wamewashtaki kwa kuingiza vifaa vya mawasiliano bila kibali, kuwa na server ambayo inatumika bila kibali, kutumia mitambo ya mawasiliano bila kibali, kuitia hasara serikali ya shirikisho 60,260,000, na kosa la mwisho ni UHUJUMU UCHUMI.

Viongozi wake wawili wamepelekwa mahabusu kwa kuwa mahakama haina uwezo wa wa kusikiliza kesi ya UHUJUMU uchumi.

Sent using Jamii Forums mobile app

walikuwa wana tumia .com sio .tz kwa kusaidia na google
ndo maana google inakula hasara kwa waleta maendeleo
 
Niliona katika habari ya Ch10 jioni hii, wamepewa makosa matano.

TRA wamewashtaki kwa kuingiza vifaa vya mawasiliano bila kibali, kuwa na server ambayo inatumika bila kibali, kutumia mitambo ya mawasiliano bila kibali, kuitia hasara serikali ya shirikisho 60,260,000, na kosa la mwisho ni UHUJUMU UCHUMI.

Viongozi wake wawili wamepelekwa mahabusu kwa kuwa mahakama haina uwezo wa wa kusikiliza kesi ya UHUJUMU uchumi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Wasisahau na kosa lingine kutushughulisha na sms zisizo na mpango,ukiingia jf wapo badoo wapo ,bora wale ban tupumue.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Niliona katika habari ya Ch10 jioni hii, wamepewa makosa matano.

TRA wamewashtaki kwa kuingiza vifaa vya mawasiliano bila kibali, kuwa na server ambayo inatumika bila kibali, kutumia mitambo ya mawasiliano bila kibali, kuitia hasara serikali ya shirikisho 60,260,000, na kosa la mwisho ni UHUJUMU UCHUMI.

Viongozi wake wawili wamepelekwa mahabusu kwa kuwa mahakama haina uwezo wa wa kusikiliza kesi ya UHUJUMU uchumi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa hiyo ule mkopo niliokopa na kutishiwa kupelekwa mahakamani kila leo ndio basi tena,

Kweli kifo cha kunguru furaha kwa panzi

CC Zero IQ
 
Wakimaliza kesi ndio nitawalipa kumbe wanarudusha juhudi za stone
Kumbe zile 50m.kila kijiji tunaweza pewa
 
Back
Top Bottom