faru rajabu
JF-Expert Member
- Jul 13, 2019
- 221
- 359
Wao watajua wenyewe na VAR yao,sisi watanzania tunachojua Samatta ana magoli mawili katika champions league,WASITULETEE JANJA JANJA hapa, lile la jana ni goli 🥴 🥴 🥴
Jidanganye mkuu,ukweli ni kwamba Samata ana goli moja tu.Wao watajua wenyewe na VAR yao,sisi watanzania tunachojua Samatta ana magoli mawili katika champions league,WASITULETEE JANJA JANJA hapa, lile la jana ni goli [emoji3061] [emoji3061] [emoji3061]
Utaahira mtupuutaila mtupu